Iphone alikuja na muundo wa home button tu ila option zingine unazitumia ndan ya cm, iphone alikuja na intenal capacity tu no other external kama sim zingine, iphone alikuja na ios hakutaka android... kadri siku zilivozid kwenda tukaanza ona cm zngine wanacopy
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli cheaf hapa natumia note 3 ina miaka 7 sasa ila sioni tatizo lolote ina android 4.4.2 battery life iko poa 100% nimenunua battery mpya 1 year warranty inakaa na chaji siku nzima. Performance yake ni nzuri kuliko hata midrange zinazotoka miaka hii iko faster sana. Kioo na kamera viko high quality naweza sema hii simu yaweza kuishi miaka mingi zaidi. Most important app zipo supported. Sioni haja yakutumia custom rom kwa kuwa mashine inapiga kazi fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nami nilikuwa na mtazamo huo asante chief kwa ufafanuzi zaidiMb nyingi zinadetermine ukubwa wa picha na sio ubora.
Camera ya 12mp picha zake zitakuwa na mb kidogo kuliko camera ya 48mp, lakini kuna uwezekano camera ya 12mp ikatoa picha bora zaidi kuliko ya 48mp
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi hakuna jipya zaid yaa micamera tu sijui wanataka kila mtu awe camera man
Sidhani
Elezea kidogo maana umeniacha njia pandaaaaKwa teknolojia bado wapo kwenye research....kuna tech ya Under screen camera...kuna tech ya Graphene battery...n.k!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu TZ p 30 pro inapatikana kwa shilingi ngapi kwa sasa?
P 40 premium hapana aisee,ushangai bei yake aitokua tofauti sana p 30 pro,chaka hilo,hiyo inawafaa wachina wenyewe
Si mchezo mkuu,aishuki bei hii simu!
Kila anacho akipendacho we are not robot kwamba tuko programmed kupenda kitu fulani...mfano wewe maamuzi yako umeona ni kitu kizuri but kwangu me sijawahi penda i phne yoyote ile naona ka ni yebo yebo siku hzi kila mtu anazijua en pia siko comfortable kutembea huku naongea na simu kisha labda kale ka apple kanaonekana au nimekaa kwenye gari mtu aone kisha aniulize hiyo i phne gani[emoji55][emoji55] sipendi i like to be unique ....sipendi ona simu nayotumia inauzwa uzwa ovyo huko kwenye matangazo ya facebook au insta kama iphone au samsung ..napenda mtu aione kwangu na iwe hajawah ona popote yani ukiiona huwezi jua ni model gani hadi nikwambie mimi thats all
Tatizo la huawei hana google support...kununua simu ya 2M+ afu unaanza kufanya sideload ya Google apps ni Nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikulaumu sana kwa vile umeshazoea kutumia simu zenye majina kama ya Jehanam
Sent using IPhone X
Iphne zote hazina sd card slot?
Iphone gani hyo umeona labd iwe ya kichina🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
11 pro max inakaa na charge kuliko simu nyingi unazozijui. Na haijafika hata 4000mAh
One plus ni ndugu yake na Oppo, Vivo na Realme. Ni watoto wa baba mmoja.Kuuliza sio ujinga oneplus ni kampuni gani huyu
Huo ndio utofaut wa iphone 11? Mbona umechochora mkuu..alaf sio kila tech ame invent yeye...kuna meng nayeye kacopy na kachelewa sana...
Camera layout ya iPhone 11 kacopy
Notch nayeye sio wa kwanza
Dark mode ndio mnaiskia skuiz
Wide angle ndio mnaiskia saiz
Yani mengi tu...sasa nmekuulza ina upya gan hyo iPhone 11 umeanza kuongea hom button [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app