Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,511
Samsung S5 ina Super amoled, inamaana hicho lcd ni fake, wanaweza pia kuandika super Amoled na kikawa fake vile vile.Mkuu hbr?
Nahitaji kioo/display cha/ya samsung S5 (SM G900P)..sasa nimeona lcd, amoled, super amoled nn tofauti yake kabla sijaungua..
Hlf lcd screen na touch screen na super amoled lcd ni sawa au tofauti?
Kama unaweza zunguka zunguka kwa mafundi angalia kama utapata kioo genuine kizuri kutoka simu nyengine.
Na simu imeharibika kioo cha ndani ama cha nje tu?
Tofauti ya lcd na Amoled angalia hapa
Jifunze tofauti kati ya display za AMOLED na LCD
sisi ndo watu pekee simu inaeza waka kioo mfulilizo bila kuzima for upto 6hrs kisha kinapumzika dk mbil ukienda chooni ukirud unaendelea tena