Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Ofcoz hii ni optimization nzur lakin sio mpya ya kushangaza...3969mah ni 4000 tu hiyo..na simu nying za Android zenye hyo 4000 zinakaa vzur sana..hii case sio mpya kwa Android..ndiomana nasema apple fan wao vitu vingi wanaona vipya wakt sio vipya kimsingi...hata darkmode naona wanavyoishangaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu anasema haikafika hata 4000 afu ina 3969 😁😁 si ni elf nne hiyo
 
Huoni kama nimeuliza
?? Sasa na zile zenye GB 16 na bado unanyimwa sd card slot unabaki ukichekelea kama mbumbumbu

Unakalia kusema wamekuja kitofauti

Iphone kutoweka sd card slot wamesaidia sana ndomana ni ngumu au sijawai ona sim ya iphone. Ikiwa affected na virus kama ma sim mengine. Kama 16Gb haikutoshi kuna option zngne za cm ila mm 16gb inanitosha sana coz naweka nyimbo tu kama naweka porno ndo ndogo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi natafuta S20 ultra ya 16GB Ram na 512 Memory sijaipata hapa dar. Nimepita voda shops, tigo na Airtel shops hawana. Na baadhi ya maduka ya Samsung wana zile zan8gb kwa 128 ambazo sio chaguo langu.

Anayejua aniagizie duka. Sitaki za mkononi ( maduka hewa) please.


Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna s20 ultra ya 16Gb


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna baadhi ya snerio kwenye photos s20 ultra inazidiwa na simu za chini kama Iphone 11 pro max

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_0729.JPG

Mzee unakwama wapi??



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Iphone kutoweka sd card slot wamesaidia sana ndomana ni ngumu au sijawai ona sim ya iphone. Ikiwa affected na virus kama ma sim mengine. Kama 16Gb haikutoshi kuna option zngne za cm ila mm 16gb inanitosha sana coz naweka nyimbo tu kama naweka porno ndo ndogo


Sent from my iPhone using JamiiForums

😁😁

Hivi bado virus inatafuna simu via memory card....sijawah kuwa affected na virus kwenye simu yangu yoyote
 
Hujanielewa.

Tukilinganisha specs on paper. Iphone 11pro max ni simu ya chini ukilinganisha na s20 ultra. Unakwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha iphone akikwambia ana 12mp na samsung 108mp bhs jua tofauti ake n ndogo sana apple ndo formula yao hio wanaweka specs ndongo ila function kubwa. Au znaweza kuwa sawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom