Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,298
- 33,624
Mkuu TZ p 30 pro inapatikana kwa shilingi ngapi kwa sasa?Ni gen 2 tofauti, op7 mwenzake ni p30 na mate 30.
Mkuu TZ p 30 pro inapatikana kwa shilingi ngapi kwa sasa?Ni gen 2 tofauti, op7 mwenzake ni p30 na mate 30.
Unayo?One plus simu flan hivi ambazo aziongelewi sana,lakini ndani yake ni zaidi ya beast
Subir p40 pro premium😊😊😊Mkuu TZ p 30 pro inapatikana kwa shilingi ngapi kwa sasa?
Wakuu wanajukwaa habari zenu,
Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika iphone 11 mbali.
Je ni kitu gani hujakipenda kwenye samsung S20? Lets discuss about S20 Ultra
View attachment 1379101
Sent from my iPhone using JamiiForums
S20 ina mp 108 alafu iPhone 11 pro 12mp...cha kushangaza picha ya iliopigwa na hio 11 pro ni kali kuliko ya S20 ..sasa najiuliza siku iPhone watokea camera ya mp 48 tuh ...si itakua zaid ya balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
P 40 premium hapana aisee,ushangai bei yake aitokua tofauti sana p 30 pro,chaka hilo,hiyo inawafaa wachina wenyeweSubir p40 pro premium😊😊😊
Sasa unajijibu mwenyew sio? Mana hicho ndio ulikisema na mim ndio nikakwambia hakuna jipya sio kila kitu utaanzisha ww...na ndomana nawao wna copy kama kawa..unafeli wapi mkuu mbna unajibu tofaut kila point?Mzer ukija kwenye masuala ya kucopy kila mtu anamcopy mwenzie kutokana na kukua kwa technology sio kwenye cm tu hata kwenye other products tunaona kutokana na competition ilivo
Sent from my iPhone using JamiiForums
S20 ina mp 108 alafu iPhone 11 pro 12mp...cha kushangaza picha ya iliopigwa na hio 11 pro ni kali kuliko ya S20 ..sasa najiuliza siku iPhone watokea camera ya mp 48 tuh ...si itakua zaid ya balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yanaitwa mahaba

MkuuWakuu wanajukwaa habari zenu,
Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika iphone 11 mbali.
Je ni kitu gani hujakipenda kwenye samsung S20? Lets discuss about S20 Ultra
View attachment 1379101
Sent from my iPhone using JamiiForums
S20 ina mp 108 alafu iPhone 11 pro 12mp...cha kushangaza picha ya iliopigwa na hio 11 pro ni kali kuliko ya S20 ..sasa najiuliza siku iPhone watokea camera ya mp 48 tuh ...si itakua zaid ya balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah kwa sasa unaambiwa s20 ni kisanga hakuna simu ya kuifananisha nayo ila hiyo iPhone 12 inakuja kufunika kila ktu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu
Vipi kuhusu Samsung Galaxy A10. Ina ubora kiasi gani ?

ila nilitumia 2018 nikiwa na s7 edge plus ikazingua scren nkadamp mpaka leo natumia iphone ni ngumu ila samsung so durable zinazingua sanaMkuu
Vipi kuhusu Samsung Galaxy A10. Ina ubora kiasi gani ?
Ni kweli cheaf hapa natumia note 3 ina miaka 7 sasa ila sioni tatizo lolote ina android 4.4.2 battery life iko poa 100% nimenunua battery mpya 1 year warranty inakaa na chaji siku nzima. Performance yake ni nzuri kuliko hata midrange zinazotoka miaka hii iko faster sana. Kioo na kamera viko high quality naweza sema hii simu yaweza kuishi miaka mingi zaidi. Most important app zipo supported. Sioni haja yakutumia custom rom kwa kuwa mashine inapiga kazi fresh.Oppo wanajitahidi ila hawana ubavu wa kushindana na Samsung kutengeneza Flagship. Flagship za Samsung ni nzuri all Around kuanzia quality ya vioo, software, camera, mics, etc.
Kwa kampuni za kichina kama unataka kununua Flagship tafuta oneplus ya Dola 400 utulie, ila kutoa dola 1000 kununua ni kupoteza tu hela.
Ebu fafanua kidogo mkuuUbora wake ni sawa na makorokoro ya Tecno
Sent using IPhone X
Tangia niamie kwenye iPhone sitaki tena kurudi ccm(Samsung)wala ujinga wowote wa android
Sent using IPhone X