Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Iphone alikuja na muundo wa home button tu ila option zingine unazitumia ndan ya cm, iphone alikuja na intenal capacity tu no other external kama sim zingine, iphone alikuja na ios hakutaka android... kadri siku zilivozid kwenda tukaanza ona cm zngine wanacopy


Sent from my iPhone using JamiiForums

Iphne zote hazina sd card slot?
 
Ni kweli cheaf hapa natumia note 3 ina miaka 7 sasa ila sioni tatizo lolote ina android 4.4.2 battery life iko poa 100% nimenunua battery mpya 1 year warranty inakaa na chaji siku nzima. Performance yake ni nzuri kuliko hata midrange zinazotoka miaka hii iko faster sana. Kioo na kamera viko high quality naweza sema hii simu yaweza kuishi miaka mingi zaidi. Most important app zipo supported. Sioni haja yakutumia custom rom kwa kuwa mashine inapiga kazi fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kusema inakaa siku nzima sema kulingana na ww me nikishika hiyo inaeza isifike sa nane mchana 😁 sisi ndo watu pekee simu inaeza waka kioo mfulilizo bila kuzima for upto 6hrs kisha kinapumzika dk mbil ukienda chooni ukirud unaendelea tena😊😊
 
Kila anacho akipendacho we are not robot kwamba tuko programmed kupenda kitu fulani...mfano wewe maamuzi yako umeona ni kitu kizuri but kwangu me sijawahi penda i phne yoyote ile naona ka ni yebo yebo siku hzi kila mtu anazijua en pia siko comfortable kutembea huku naongea na simu kisha labda kale ka apple kanaonekana au nimekaa kwenye gari mtu aone kisha aniulize hiyo i phne gani sipendi i like to be unique ....sipendi ona simu nayotumia inauzwa uzwa ovyo huko kwenye matangazo ya facebook au insta kama iphone au samsung ..napenda mtu aione kwangu na iwe hajawah ona popote yani ukiiona huwezi jua ni model gani hadi nikwambie mimi thats all

Sikulaumu sana kwa vile umeshazoea kutumia simu zenye majina kama ya Jehanam


Sent using IPhone X
 
Tatizo la huawei hana google support...kununua simu ya 2M+ afu unaanza kufanya sideload ya Google apps ni Nonsense.

Sent using Jamii Forums mobile app


Huawei kwa sasa ni za kukwepa kabisa hadi waweke mambo yao sawa na US...

For now, kwa ubora wa camera, battery life, performance nk....S20 au 11 Pro ni chaguo sahihi japo nadhani ni busara kusubiri Iphone 12 itakayokuwa na high refresh rate.
 
Iphone gani hyo umeona labd iwe ya kichina🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums

Huoni kama nimeuliza
?? Sasa na zile zenye GB 16 na bado unanyimwa sd card slot unabaki ukichekelea kama mbumbumbu

Unakalia kusema wamekuja kitofauti
 
Ila to be honest. Iphone ni simu ambayo ipo consistent sana kwenye camera. Hasa upande wa video.
Huo ndio utofaut wa iphone 11? Mbona umechochora mkuu..alaf sio kila tech ame invent yeye...kuna meng nayeye kacopy na kachelewa sana...

Camera layout ya iPhone 11 kacopy
Notch nayeye sio wa kwanza
Dark mode ndio mnaiskia skuiz
Wide angle ndio mnaiskia saiz

Yani mengi tu...sasa nmekuulza ina upya gan hyo iPhone 11 umeanza kuongea hom button


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom