Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Kuna chuma kinaitwa Oppo find X2 PRO. Huyo samsung akalale.

Wakati samsung s20 ultra anaweka 120Hz kwa FHD

Oppo find x2 pro anakuwekea 120Hz kwa QHD+

Sijataka kugusa maeneo mengine...

Halafu kuna mnyama mwingine anakuja tar 26 mwezi huu. Huawei p40 pro premium.View attachment 1390027

Sent using Jamii Forums mobile app

Oppo hii ni nzuri japo nina uhakika Samsung wataleta 120Hz refresh rate kwenye QHD through OTA updates.

Pia, Huawei P40 nakushauri uikwepe kwani haitakuwa na Google services na sideloading the apps sio kazi ndogo na kuna security risks
 
Hizi pro mkuu mara nyingi ni namna ya kutoza watu hela nyingi, kama oneplus ya kawaida itakuja na sd 865 inatosha, cha muhimu ni soc ram ya 12gb na 8gb kwa mtu wa kawaida haina maana sana, na difference nyengine zinakuwa hazina maana sana.

Hata hizi samsung hii s20 ultra haina jambo lolote la maana linalofanya ulipe milioni zaidi ya s20/20 plus.
Hiv hiz mate 30 pro zenye playstore inakuaje au kuna ujanja wanafanya kuziweka au walitoa zenye playstore pia?
 
Iphone 11 si apple fan wakaanza shangaa zile camera mana ni kitu kipya kwao..so lazma tu walikua na ham

Sent using Jamii Forums mobile app

Teh apple alikuja kitofauti sana kwenye industry ndomanaa kawin markt, binafsi kwangu apple ndo best phones hta kwenye durability

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alikuja na utofaut upi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Iphone alikuja na muundo wa home button tu ila option zingine unazitumia ndan ya cm, iphone alikuja na intenal capacity tu no other external kama sim zingine, iphone alikuja na ios hakutaka android... kadri siku zilivozid kwenda tukaanza ona cm zngine wanacopy

Kipindi Apple wanatoa ios Android haipo
 
Kuuliza sio ujinga oneplus ni kampuni gani huyu
We baki hukohuko shami!
Smooth like never before.
20200317_223648_rmscr-1.jpg
1281472167-279200939.jpg
 
Huo ndio utofaut wa iphone 11? Mbona umechochora mkuu..alaf sio kila tech ame invent yeye...kuna meng nayeye kacopy na kachelewa sana...

Camera layout ya iPhone 11 kacopy
Notch nayeye sio wa kwanza
Dark mode ndio mnaiskia skuiz
Wide angle ndio mnaiskia saiz

Yani mengi tu...sasa nmekuulza ina upya gan hyo iPhone 11 umeanza kuongea hom button
Iphone alikuja na muundo wa home button tu ila option zingine unazitumia ndan ya cm, iphone alikuja na intenal capacity tu no other external kama sim zingine, iphone alikuja na ios hakutaka android... kadri siku zilivozid kwenda tukaanza ona cm zngine wanacopy

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio utofaut wa iphone 11? Mbona umechochora mkuu..alaf sio kila tech ame invent yeye...kuna meng nayeye kacopy na kachelewa sana...

Camera layout ya iPhone 11 kacopy
Notch nayeye sio wa kwanza
Dark mode ndio mnaiskia skuiz
Wide angle ndio mnaiskia saiz

Yani mengi tu...sasa nmekuulza ina upya gan hyo iPhone 11 umeanza kuongea hom button

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzer ukija kwenye masuala ya kucopy kila mtu anamcopy mwenzie kutokana na kukua kwa technology sio kwenye cm tu hata kwenye other products tunaona kutokana na competition ilivo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom