42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Ukiwa na 1M kitaa unapata.Mkuu TZ p 30 pro inapatikana kwa shilingi ngapi kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na 1M kitaa unapata.Mkuu TZ p 30 pro inapatikana kwa shilingi ngapi kwa sasa?
yeah kwa sasa unaambiwa s20 ni kisanga hakuna simu ya kuifananisha nayo ila hiyo iPhone 12 inakuja kufunika kila ktu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
P 40 premium hapana aisee,ushangai bei yake aitokua tofauti sana p 30 pro,chaka hilo,hiyo inawafaa wachina wenyewe
Kuna simu simi inaitwa s7 edge plus?,Samsung niliacha tumia 2014ila nilitumia 2018 nikiwa na s7 edge plus ikazingua scren nkadamp mpaka leo natumia iphone ni ngumu ila samsung so durable zinazingua sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo la huawei hana google support...kununua simu ya 2M+ afu unaanza kufanya sideload ya Google apps ni Nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi sijavutiwa na bei, siwezi kua na akili timamu halafu nikawa natembea na ngome 6 walioshiba mfukoni, never.
..
Nipe tundu hilo
hata hiyo sinunui, nanunua itel ya 18,277.76tzs
Kazi ipoMimi natafuta S20 ultra ya 16GB Ram na 512 Memory sijaipata hapa dar. Nimepita voda shops, tigo na Airtel shops hawana. Na baadhi ya maduka ya Samsung wana zile zan8gb kwa 128 ambazo sio chaguo langu.
Anayejua aniagizie duka. Sitaki za mkononi ( maduka hewa) please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iphone 11 pro max ni simu za chini?Kuna baadhi ya snerio kwenye photos s20 ultra inazidiwa na simu za chini kama Iphone 11 pro max
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda iphone kwa iPhone wenyeweIla to be honest. Iphone ni simu ambayo ipo consistent sana kwenye camera. Hasa upande wa video.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcoz hii ni optimization nzur lakin sio mpya ya kushangaza...3969mah ni 4000 tu hiyo..na simu nying za Android zenye hyo 4000 zinakaa vzur sana..hii case sio mpya kwa Android..ndiomana nasema apple fan wao vitu vingi wanaona vipya wakt sio vipya kimsingi...hata darkmode naona wanavyoishangaa11 pro max inakaa na charge kuliko simu nyingi unazozijui. Na haijafika hata 4000mAh
Sent using Jamii Forums mobile app

Used au mpya?
Asanteee.Kuna chuma kinaitwa Oppo find X2 PRO. Huyo samsung akalale.
Wakati samsung s20 ultra anaweka 120Hz kwa FHD
Oppo find x2 pro anakuwekea 120Hz kwa QHD+
Sijataka kugusa maeneo mengine...
Halafu kuna mnyama mwingine anakuja tar 26 mwezi huu. Huawei p40 pro premium.View attachment 1390027
Sent using Jamii Forums mobile app