Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Kwa teknolojia bado wapo kwenye research....kuna tech ya Under screen camera...kuna tech ya Graphene battery...n.k!
Kwenye mobile phone technology wamefikia mwisho, hakuna technolojia mpya kwa miaka hii ya hivi karibuni hivyo ubunifu umehamia kwenye camera, screen size nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waje na smartphone zinazokaa na chaji week nzima
Kwenye camera sidhani kama kuna cha ziada kinahitajika kwa mfano mm natumia simu yenye camera 48mp lakini sioni tofauti na simu yenye 12mp
48 na 12 hazina tofauti?!

Labda brand ya tecnology ila sio zile nazojua mm
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu taratibu jamani, ni mimi na wewe tu ndio hatuwezi kuimiliki ila kuna watu wana mavumba yao humu.
Kipindi hicho ilikuwa bado
 
Waje na smartphone zinazokaa na chaji week nzima
Kwenye camera sidhani kama kuna cha ziada kinahitajika kwa mfano mm natumia simu yenye camera 48mp lakini sioni tofauti na simu yenye 12mp

Hahahaha sure coz iphone pro ina 12mp ila haina utofauti na s20 ultra


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Auntie na mimi niongeze hapo naishia kuwasoma tu watu wanaomiliki masimu ya mabei makubwa tu humu jf
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom