Mr Kaptenovela
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 621
- 618
Yenye pixel ndogo itakuwaje juu kiongoziHaziwezi kua sawa pixel ya s9 bdo zipo juu
Yenye pixel ndogo itakuwaje juu kiongoziHaziwezi kua sawa pixel ya s9 bdo zipo juu
Fatilia maongezi yetu utarlewa nilikua najibu nnYenye pixel ndogo itakuwaje juu kiongozi
Hivi mb nyingi ndo inadetermine ubora wa picha
Duh calm down bibie I didn't mean to change ur mood.Fatilia maongezi yetu utarlewa nilikua najibu nn
Am oky nmekurlewesha tu kishkaji bwana utakua ww ndo umesoma na tune ya kua out of moodDuh calm down bibie I didn't mean to change ur mood.
Mmh!! LabdaAm oky nmekurlewesha tu kishkaji bwana utakua ww ndo umesoma na tune ya kua out of mood
Kuna chuma kinaitwa Oppo find X2 PRO. Huyo samsung akalale.Wakuu wanajukwaa habari zenu,
Ni siku kadhaa zimepita tangu Samsung Galaxy walaunch Samsung S20. Ni simu ambayo imeonesha kuvunja record hasa kwenye camera, System operating nk. Na wamemfunika iphone 11 mbali.
Je ni kitu gani hujakipenda kwenye samsung S20? Lets discuss about S20 Ultra
View attachment 1379101
Sent from my iPhone using JamiiForums
Oppo wanajitahidi ila hawana ubavu wa kushindana na Samsung kutengeneza Flagship. Flagship za Samsung ni nzuri all Around kuanzia quality ya vioo, software, camera, mics, etc.Kuna chuma kinaitwa Oppo find X2 PRO. Huyo samsung akalale.
Wakati samsung s20 ultra anaweka 120Hz kwa FHD
Oppo find x2 pro anakuwekea 120Hz kwa QHD+
Sijataka kugusa maeneo mengine...
Halafu kuna mnyama mwingine anakuja tar 26 mwezi huu. Huawei p40 pro premium.View attachment 1390027
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mb nyingi ndo inadetermine ubora wa picha
Mb nyingi zinadetermine ukubwa wa picha na sio ubora.
1. Manufacturer wa kioo cha S20 ultra na Oppo X2 PRO ni mmoja. Naye ni samsung. Zote ni amoled. Na cha kushangaza zaidi display ya oppo ndio nzuri zaidi sababu ina specs za juu kuanzia colour depth, pixel density n.k.Oppo wanajitahidi ila hawana ubavu wa kushindana na Samsung kutengeneza Flagship. Flagship za Samsung ni nzuri all Around kuanzia quality ya vioo, software, camera, mics, etc.
Kwa kampuni za kichina kama unataka kununua Flagship tafuta oneplus ya Dola 400 utulie, ila kutoa dola 1000 kununua ni kupoteza tu hela.
1. Manufacturer wa kioo cha S20 ultra na Oppo X2 PRO ni mmoja. Naye ni samsung. Zote ni amoled. Na cha kushangaza zaidi display ya oppo ndio nzuri zaidi sababu ina specs za juu kuanzia colour depth, pixel density n.k.
Software ni pana mkuu hapa umeongelea tu stability ya hio software kuna vitu kama2. Kwenye Issue ya Softaware ni kweli Oppo alilalamikiwa sana kwenye simu za nyuma. Hii find x2 pro software yake imekuwa iproved pakubwa sana mpaka wanasema ni kama imekuwa kama Oxygen Os ya One plus. Pia ukimbuke Oppo na One plus ni watoto wa baba mmoja na baba yao ni BBK Electonics ambapo watoto wengine pia ni Vivo na Realme.
Nafahamu mkuu lakini dola 1000? Oppo?3. Kwa upande wa camera. Kwa reviews nilizoangalia kuna upande Oppo anafanya vizuri including stabilazation kwenyw upande wa video. Pia kuna upande samsung anafanya vizuri.
Kapitie reviews za hiyo simu siyo kama Oppo zingine unazozijua mkuu.
Pia kwa sasa simu yenye best camera ni mi 10 pro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukilinganisha na nani?ia kwa sasa simu yenye best camera ni mi 10 pro.
Oneplus 8pro?Huyo oneplus ndio ni ndugu yake ila atatoa simu nzuri kama Hii na bei itakuwa nusu yake.
Hizi pro mkuu mara nyingi ni namna ya kutoza watu hela nyingi, kama oneplus ya kawaida itakuja na sd 865 inatosha, cha muhimu ni soc ram ya 12gb na 8gb kwa mtu wa kawaida haina maana sana, na difference nyengine zinakuwa hazina maana sana.Oneplus 8pro?
Hizi pro mkuu mara nyingi ni namna ya kutoza watu hela nyingi, kama oneplus ya kawaida itakuja na sd 865 inatosha, cha muhimu ni soc ram ya 12gb na 8gb kwa mtu wa kawaida haina maana sana, na difference nyengine zinakuwa hazina maana sana.
Hata hizi samsung hii s20 ultra haina jambo lolote la maana linalofanya ulipe milioni zaidi ya s20/20 plus.
12 bado sana, kama miezi 6 hivi. Karibuni itatoka 9, ambayo ni iphone ya bei nafuu.Iphone 12 inaweza kuwa balaaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
One plus zinapanda bei kila mwaka. Hujanotice hicho kitu?Una ushahidi ni samsung alietengeneza hio display? Specs zinaonesha ni Amoled ila hazijasema ni super Amoled, usichanganye oppo X2 na Realme x2, X2 ya realme ndio super amoled.
Software ni pana mkuu hapa umeongelea tu stability ya hio software kuna vitu kama
1. Features za hio software
2. Updates mbalimbali za baadae
3. 3rd party support na vitu kama Bootloader unlock etc
Mpaka leo simu kama Galaxy s2 ina support nzuri tu ya developers sababu samsung ni rafiki wa developers.
Nafahamu mkuu lakini dola 1000? Oppo?
Huyo oneplus ndio ni ndugu yake ila atatoa simu nzuri kama Hii na bei itakuwa nusu yake.