Simu nzuri kwa sasa ni ipi kwa budget ya 350k?Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.
Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.Simu nzuri kwa sasa ni ipi kwa budget ya 350k?
Around 28,000kshsMkuu umeipata kwa bei gani Nairobi? (A50)
Ukinipa TSH 600,000 nakuachia maana nimeitumia kama wiki 3 hiviAround 28,000kshs
Hivi ni kweli Samsung m-series ni kwa ajili ya India?Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.
Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.
Ndio inavyoonekana mkuu, sisi matajiri wa Africa hawajatuletea.Hivi ni kweli Samsung m-series ni kwa ajili ya India?
Nikinunua haitakua nzuri kwa hapa kwetu?Ndio inavyoonekana mkuu, sisi matajiri wa Africa hawajatuletea.
Samsung yangu j7 Pro kwa kweli suala la Chaji hii simu nimeYani nachezea kinyama lakini inatunza chaji balaaa... Hapa samsung wameweza kazi
Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.
Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.
Hii M20 nimeiona mlimani City, vipi iko poa?Kwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.
Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.
Itakuwa nzuri tatizo ukinunua kwa bei ya hapa Bongo ni ghali sana.Nikinunua haitakua nzuri kwa hapa kwetu?
Hazipo Tanzania ila Kenya zipo official,Mkuu Chief hizi Redmi zipo kweli Bongo? Au hakuna agent?
Ina make sense kama unaipata kwa hio bei chini ya laki 4, ikizidi hapo achana nayo.Hii M20 nimeiona mlimani City, vipi iko poa?
Ngoja nitapita kuulizia, ina tofauti gani na A20?Ina make sense kama unaipata kwa hio bei chini ya laki 4, ikizidi hapo achana nayo.
-m20 ina battery kubwa zaidi 5000mah compare na 4000mah ya A20.Ngoja nitapita kuulizia, ina tofauti gani na A20?
Hapo nimekupata Chief!-m20 ina battery kubwa zaidi 5000mah compare na 4000mah ya A20.
-kioo chake ni full hD 1080p, japo sio Amoled, compare na 720p ya A20.
-cat 12 lte mpaka 600mbps tofauti na cat 4 lte mpaka 150mbps ya A20, kuna baadhi ya mitandao itakuwa na speed zaidi.
-processor yenye nguvu kidogo.
-doly atmos.
Hiyo nimeiona shop 400+, sikumbuki exactly ila inacheza kati ya 450 mpaka 470.
-m20 ina battery kubwa zaidi 5000mah compare na 4000mah ya A20.
-kioo chake ni full hD 1080p, japo sio Amoled, compare na 720p ya A20.
-cat 12 lte mpaka 600mbps tofauti na cat 4 lte mpaka 150mbps ya A20, kuna baadhi ya mitandao itakuwa na speed zaidi.
-processor yenye nguvu kidogo.
-doly atmos.
Ina line 2, zote Tigo na TTCL zipo kwa pamoja? Huwenda imesetiwa kutumia line ya Tigo internet. Nenda kwenye sim management kisha seti TTCL ndio itumike.Samahani mkuu naomba msaada wko,nimennua a20 ilana moana imenigomea internert ya ttcl nimeweka access point tigo inakubali ila ttcl imegoma.
Ina line 2, zote Tigo na TTCL zipo kwa pamoja? Huwenda imesetiwa kutumia line ya Tigo internet. Nenda kwenye sim management kisha seti TTCL ndio itumike.
Pia mahala ambapo TTCL hakuna mnara wanatumia Tigo hivyo hakikisha roaming ipo ON.