Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Anahitaji, Samsung A30 Anione nimpe kwa 450,000 Kuna mtu nilimchukulia, anatanga anizungue kwenye pesa, Haijatumika kabisa, imenunuli Tarehe 12 jun unaikagua kwanza ikilidhika unalipia.
Laki3 fasta
 
Tufanye biashara mkuu
 
Mkuu umeipata kwa bei gani Nairobi? (A50)
 
Hivi Nokia, Huawei, Xiaomi mtengenezaji si mmoja (Foxconn) au?
Nokia hazitengenezwi na foxconn wenyewe bali subsidiary yake inaitwa FIH, viwanda vya zamani vya Nokia ndio vinaitwa FIH.

Na Hao wengine wanatengeneza foxconn ndio sema kampuni kubwa hazitegemei mtengenezaji mmoja tu, wanakuwa na source mbalimbali.
 
Nokia hazitengenezwi na foxconn wenyewe bali subsidiary yake inaitwa FIH, viwanda vya zamani vya Nokia ndio vinaitwa FIH.

Na Hao wengine wanatengeneza foxconn ndio sema kampuni kubwa hazitegemei mtengenezaji mmoja tu, wanakuwa na source mbalimbali.
Nimekuelewa mkuu
 
Kwamba hizo sumsung zenu zinakaa na chaji kuzidi hii tecno l8 yangu?
 
Processor yange ina nguvu sana mkuu, ila ram 2gb tu, hakuna maajabu itakwama tu hasa vile umewahi tumia simu kama s7.

Mkuu mimi nawashangaa sana watu wanapolalamikia kupasuka vioo kwa Samsung, asee mimi nakataa, huku Africa tunauziwa feki sana japo tunayaona mazuri

Nilinunua simu Samsung 6edge plus USA(Niliagiza) mwaka 2017 asee niliweka protector sense yake ikapungua nikaitoa, NASEMA hivi nimeiangusha mara isiyo na idadi tena kwenye kila aina ya sakafu lakini haijawahi pasuka wala kutoa cracks,

Siku moja nilikandamiza kwenye edge ya skirting bila kujua kwa muda mrefu nilikuta ka cracks kadogo sana na unaweza hata usikaone

Nikitaka kubadilisha simu nitaagiza nje tu, za humu inchini ni feki
 
Inategemea unaidondosha vipi na inatua vipi mkuu, hujawahi kwenda dukani ukakuta mhindi anadondosha sahani ya dongo na haipasuki? Ila ukifika wewe ukijaribu inapasuka.

Huku Africa kiujumla adui mkubwa ni vumbi, ndani ya vumbi kuna Quartz ambayo inakwangua kirahisi material yanayotumika kwenye simu na kufanya Gorilla glass iwe useless.

Pia ukidondosha eneo ambalo sio flat lenye ncha yoyote inapasuka kirahisi tu,
 

Broo kwenye tiles, zege na rough surface kama hizo

Afu hizi samsung hata isipodondokea kioo lazima itoe cracks kioo chote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…