Mi samsung siku hizi kero tupu, yan nanunua simu laki 4+ alafu haina feature ndogo tu kama ya screen mirroring wakati hadi itel hiyo feature wameweka. So disappointed na J4 plus, naimani hata hizo A10, 20 hazina vitu vingi maana naona wame concetrate kwenye aesthetics kuliko features. Wanataka mionekano ya infinity display na waterdrop za vioo zivutie nje tu.
Juzi J4 plus nimepata OS mpya android 9 pie, ikiwa na One UI nikahsi hiyo feature itakuja sasa hola.
Mwenye 280k alete nimpa J4 plus mint condition na risit yake juu.
