Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,079
- 43,574
Na Apn umetengeneza upande wa TTCL? Pia ukiswitch data iende TTCL unachagua 4G iwe upande wa TTCL?Ndio ina line zote, yaani nikiweka sim data itumike tigo inakubali ila nikiselect ttcl haifanyi kazi
Ndio mkuuNa Apn umetengeneza upande wa TTCL? Pia ukiswitch data iende TTCL unachagua 4G iwe upande wa TTCL?
Umekosea spelling ni internet na sio internert
Umekosea spelling ni internet na sio internert
Huwezi ukapata vyote, kwenye vifaa vya electronics unachagua viwili kati ya hivi
-portability
-perfomance
-batterylife
Na A20 ina perfomance kubwa kushinda j7 pro ila inapitwa kwenye display, batterylife nafikiri na camera pia.
Mkuu jaribu kutumia 3rd party camera yoyote search play store camera.Hii a20 front camera yake iko blurry,ni nini inaweza kua shida,settings au ndo zilivo maana nahisi kizungu zungu hapa hata sielewi!
Chukua 400k, ikiwezekana tumalize biashara leo leoUkinipa TSH 600,000 nakuachia maana nimeitumia kama wiki 3 hivi
Naona 7 pro ni IPS vip haitakuwa ya kawaida sana kwenye displayKwa za kuagizishia online Redmi note 7 ni nzuri zaidi mkuu. Sd 660 ni soc nzuri sana almost level za s8. Pia inatick vitu vingi kama camera, battery life, storage etc. Ila kwa hio bei utapata tu version ya 3gb/32gb.
Kwa hizi za kwetu pengine A20 ila mimi sijaipenda sana hasa kioo cha zaidi ya inch 6 na resolution ya kawaida ya HD, m20 ingemake sense zaidi lakini nafikiri samsung hawazileti huku ndio maana mtaani zinauzwa ghali sana.
Display haitakuwa nzuri Kama Super AMOLED (A30 kupanda) lakini still ni display nzuri maana ni Full HD.Naona 7 pro ni IPS vip haitakuwa ya kawaida sana kwenye display
Mkuu samahani sana nimeagizia redmi note 7 pro china nimeona ni Chinese version na hamna global ROM ikitua bongo ntaweza kutumia kwa mitandao ya kwetu huku au italeta shida....?Display haitakuwa nzuri Kama Super AMOLED (A30 kupanda) lakini still ni display nzuri maana ni Full HD.
Lugha unabadili Haina neno na Hata version za kichina zinafanya huku sema Kuna uwezekano isifanye band zote za 4G, ila 3G na 2G fresh tu.Mkuu samahani sana nimeagizia redmi note 7 pro china nimeona ni Chinese version na hamna global ROM ikitua bongo ntaweza kutumia kwa mitandao ya kwetu huku au italeta shida....?
Na lugha si itakuwa kichina?
Aah sawa shukran mkuuLugha unabadili Haina neno na Hata version za kichina zinafanya huku sema Kuna uwezekano isifanye band zote za 4G, ila 3G na 2G fresh tu.
Ungeijua exactly model yake tungecheki frequency.
Kwanini unaiuza mkuumimi ninayo samsung A10 bado mpya bei 250k tu. nipo dar
Nimepata tatizo la kifedha mkuu inabidi ninunue simu nyingine baadae mwisho wa mwezi.Kwanini unaiuza mkuu
Umekosea spelling ni internet na sio internert
Unakula 180?mimi ninayo samsung A10 bado mpya bei 250k tu. nipo dar
du unaandika kama STD 2 school girluwongo upi ukweli upi
wewe umezoea simu camera kari gb16 batter kutunza moto usharidhika lkn wanaojua simu 7bu wanajua kadri unavyojaza apps itakusumbua ndo mana ushauri simu zenye uwezo mkubwa kwa gharama nafuu
huu mwandiko hatari sanauwongo upi ukweli upi
wewe umezoea simu camera kari gb16 batter kutunza moto usharidhika lkn wanaojua simu 7bu wanajua kadri unavyojaza apps itakusumbua ndo mana ushauri simu zenye uwezo mkubwa kwa gharama nafuu