Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

Kuanzia A30s na kavu kushuka Chini huu Uzi utakuwa na taarifa mbaya kwenye medulla oblongata zenu Ila msijisikie kinyonge ndio ukweli wenyewe
 
Hzo a10s,a20s miyeyusho.tumia a kavu.tena anzia a20 na kuendelea utojutia.kioo super amoled,fast charge n.k.but dukan hazipo asahv.utakutana na izo za AS ambazo ni kimeo.
 
Hzo a10s,a20s miyeyusho.tumia a kavu.tena anzia a20 na kuendelea utojutia.kioo super amoled,fast charge n.k.but dukan hazipo asahv.utakutana na izo za AS ambazo ni kimeo.
Ungeelezea na mapungufu yake ingependeza zaidi.
 
16s haina fast charging, Kanunue chaja za oraimo/mango/infinix around 8000 agrey kkoo.
Asante sana mkuu umenisaidia mno!!

Je, na hii nayo kuna umuhimu wa ku install?
Screenshot_20210422-190432.png
 
Yuko sahihi...A series ni Midrange phones...so haziwezi kuwa sawa na flagship kama S na Note series

Hata uwe na a90 hutopata vitu utanavyopata kweny s na note za miaka sawa.

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kwa hili, nakuunga mkono. Nina A21 na Note 3. Kuna vitu vingi ambavyo havipo kwenye A series ya mwaka jana, ukilinganisha na Note series niliyotaja abayo ni ya 2014. Kuna mahali nadhani Samsung kwenye hizi A series hawajazitendea haki, ikiwemo camera. Walichoweza kikubwa ni battery, zinadumu muda mrefu sana.
 
A series kubwa kama A5x, A7x etc zinakuja na same one ui, sema kuna vitu wana reserve kwa Simu zao za bei ya juu kama dex.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom