Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 921
- 1,089
Natumia A10s ikifika mwezi ujao inatizima mwaka. Sina malalamiko yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili ya wateja wanaotaka kumiliki brand ya Samsung ila bajet yao ndogo ila kiukweli Samsung A series inazidiwa ubora na simu nying za "low end"
Samsung wametoa A series ambazo bei zake zipo chini around 320k-370k kwa A10s na A20s. Simu hizi nimezitumia na zina madhaifu yafuatayo
1.Dispaly" ki ukweli display zake ni low quality ukilinganisha na brand nyingine za Samsung kama "S series" ukiingalia display bila kuangalia jina unaweza jua Tecno au Infinix
2. Network hizi simu zina 4G ila hazina kasi kabisa. Unaweza washa data na isirespond mpaka urestart simu ndo inakubali.
3.haina "Front flash" ni ajabu Samsung kutoa simu ya 370k haina flash ya mbele. Sahau kupiga selfie usiku.
4.camera hafifu hizi simu zina camera hafifu ambapo ukipiga kwenye giza inatoa picha yenye rangi ya maziwa hivyo kuharibu ubora wa picha. Picha za usiku sahau kabisa
Samsung walichojitahidi hasa ni uwezi wa Betri ambayo kwa wastani inakaaa vizur na chaji.
NB;Kama ubataka kubadili brand ya simu kwenda Samsung ni bora ukatafuta brand nyingine kama "S series" ila sio "A series". Utachofaidi ni brand ya "SAMSUNG tuu"
Ila kwenye kipengele cha kuchelewa kuconnect data nakubaliana na wewe wakati mwingine unaweza ukaunga bando la MB lakini bado simu inakuambia hauna data.
Haina haja ya kurestart simu unachotakiwa kufanya ni kuweka Flight Mode ON then OFF ....... itakuwa connected tenaNadhani hii ipo kwenye Samsung zote, nipo kwenye S series na hunitokea hili tatizo kama nikitumia Mobile data badala ya WIFI, inanilazimu ni restart simu ndio nakua connected tena, nimeshaijulia so hua hainisumbui.
Mtu anajikuna mkono unapofikaKwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili ya wateja wanaotaka kumiliki brand ya Samsung ila bajet yao ndogo ila kiukweli Samsung A series inazidiwa ubora na simu nying za "low end"
Samsung wametoa A series ambazo bei zake zipo chini around 320k-370k kwa A10s na A20s. Simu hizi nimezitumia na zina madhaifu yafuatayo
1.Dispaly" ki ukweli display zake ni low quality ukilinganisha na brand nyingine za Samsung kama "S series" ukiingalia display bila kuangalia jina unaweza jua Tecno au Infinix
2. Network hizi simu zina 4G ila hazina kasi kabisa. Unaweza washa data na isirespond mpaka urestart simu ndo inakubali.
3.haina "Front flash" ni ajabu Samsung kutoa simu ya 370k haina flash ya mbele. Sahau kupiga selfie usiku.
4.camera hafifu hizi simu zina camera hafifu ambapo ukipiga kwenye giza inatoa picha yenye rangi ya maziwa hivyo kuharibu ubora wa picha. Picha za usiku sahau kabisa
Samsung walichojitahidi hasa ni uwezi wa Betri ambayo kwa wastani inakaaa vizur na chaji.
NB;Kama ubataka kubadili brand ya simu kwenda Samsung ni bora ukatafuta brand nyingine kama "S series" ila sio "A series". Utachofaidi ni brand ya "SAMSUNG tuu"
Thanks kwa mbinu hiiHaina haja ya kurestart simu unachotakiwa kufanya ni kuweka Flight Mode ON then OFF ....... itakuwa connected tena
A10 kama tecno? We ulisikia wapi?.A series zote zisizo na (s) ni nzuri sana.zimepotea madukani pia.A series kuanzia A30 kwenda juu ziko poa sana. Hzo A10 ni kma Tecno tu iliyochangamka
Hapo ukiunga bando inatakiwe uweke airplane mode sekunde chache ndio urudi huku kwenye data,ni maujanja tu kidogo,Natumia Samsung A10 kwa kweli ipo tofauti na TECNO nilizowahi kutumia huko nyuma.
Ila kwenye kipengele cha kuchelewa kuconnect data nakubaliana na wewe wakati mwingine unaweza ukaunga bando la MB lakini bado simu inakuambia hauna data.
Ni simu nzuri kwa sisi wenye kipato cha chini. Hata mtu simshauri achukue TECNO.
Hii Samsung A10 naona ipo vizuri sana kwenye Camera mchana tofauti na TECNO.
Airplane mode tu inatosha.Nadhani hii ipo kwenye Samsung zote, nipo kwenye S series na hunitokea hili tatizo kama nikitumia Mobile data badala ya WIFI, inanilazimu ni restart simu ndio nakua connected tena, nimeshaijulia so hua hainisumbui.
Bro A10 ni kma Tecno tu. Sema tu samsung software yao ni nzuri sana kuliko ya TecnoA10 kama tecno? We ulisikia wapi?.A series zote zisizo na (s) ni nzuri sana.zimepotea madukani pia.
Shukrani kwa elimu hiiAirplane mode tu inatosha.