Samson Mwigamba aelezea makucha ya Mbowe na CHADEMA

Samson Mwigamba aelezea makucha ya Mbowe na CHADEMA

"Nataka kuwahakikishia wanachadema wote kuwa nimekuwa ndani ya Chadema kuanzia 1998 ambapo nilikuwa Makamu Mwenyekiti Bara, na baadaye 2003 Kaimu Katibu Mkuu, na hatimaye Katibu Mkuu, hivyo nimeshiriki kikamilifu kuandaa Katiba ya 2004 na pia Katiba ya 2006 baada ya Rebranding ya Chama.

"Nataka niwahakikishie wanachadema, hakuna toleo lolote la Katiba ndani ya Chadema imeweka " muda wa Uongozi kuwa vipindi viwili tu", kuanzia Katiba aliyoiasisi Mzee Mtei na kupitishwa na Mkutano Mkuu, wala si ya 2004 au ya 2006.

"Kama kuna mtu anasema ilikuwepo na imeondolewa kinyemela, basi aonyeshe kifungu hicho kwenye Katiba yeyote ile, au miniti za kikao chochote kile."
Haya ni maneno ya Dr. Slaa. Kama kuna mtu ana ushahidi wa Katiba iliyochakachuliwa ili Mbowe aongoze "Milele" alete hapa tulinganishe na hoja hizi.
Kwa hiyo mbowe kabakiza miaka mingapi?
 
Nafiki hoja ya Mkwaru in kwamba Mwigamba anaweza kuwa sahihi kuhusu Mbowe na Chadema lakini maadamu safari yake kisiasa bado inaendelea ni vyema economical with words. Aweke "akiba ya maneno" sababu hao anawananga leo ndiyo waliochangia pakubwa ku- elevate profile yake. Ni suala kuonyesha appreciation pia!
Ni kweli kabisa. Tukumbuke tulianza kumjua Mbowe kabla ya Mwigamba na baada ya kupokelewa ndio akaonekana mfano turudi ktk historia ya Zitto na Mbowe.
Hizi ni siasa ila hawa watu wawili na wengine wengi eanajua umuhimu wa Kamanda Mbowe japokuwa hawawezi kuyaongea haya mbele kioo cha jamii.
Simsifii sana Mbowe ila nikiangalia umri wake huwa napataga udhubutu mkubwa sana
 
Haituongezei Dawa hospitalini wala kupeleka maji na umeme kijijini kwangu. So a sweet crap tupa kule.
 
Waandishi wa Tz bora alivyosema Mwakyembe wawe na digrii maana sio kwa upumbavu huu kuusikiliza ndani hata ya nusu saa
 
Mku hoja ni matusi tena.
Ni vuzuri ukaja na hoja sio bomba la matusi utakuwa umeongeza upeo wako. Kuja na matusi ni kukimbia hoja usiwemwoga wa majukumu
Kama hujaona hoja yeyote kwenye hayo majibu niliyokupa kuhusu askofu na waraka umejitukana mwenyewe tayari soma tena ona hoja yangu niliyokupa kwanzia zama za yesu mpaka zama zetu maaskofu wamekua wakitumika kwa maslahi yao binafsi...askofu sio malaika ni binadamu kama wewe aliyosoma dini tu na sio kila msomi ana maadili ya taaluma aliyosomea..wenye maadili hawawezi tumia taaluma yao kufanya kazi za wengine
 
Nafiki hoja ya Mkwaru in kwamba Mwigamba anaweza kuwa sahihi kuhusu Mbowe na Chadema lakini maadamu safari yake kisiasa bado inaendelea ni vyema economical with words. Aweke "akiba ya maneno" sababu hao anawananga leo ndiyo waliochangia pakubwa ku- elevate profile yake. Ni suala kuonyesha appreciation pia!
Ukija kwenye appreciation hoja yangu ni kwamba vyama pinzani vimekosa hio appreciation kwa taifa lao na wanaoliongoza sasa sioni sababu why samson inabidi amuappreciate mbowe ikiwa mbowe kwa akili zake timamu amegoma kuappreciate juhudi za serikali...hatuezi kua na double standards zinazoruhusu appreciations kwa mbowe na matusi kwa raisi kama tunajikita kwenye mapungufu ya mtu basi mwigamba ana haki kuanika mapungufu ya mbowe..
 
Haituongezei Dawa hospitalini wala kupeleka maji na umeme kijijini kwangu. So a sweet crap tupa kule.
Wala vyama pinzani haviwezi kutatua hata kero moja uliyotaja hapo..a sweet crap to everyone tupa kule
 
Na wewe unamwamini? Au humjui vizuri labda. Subiri ahame na huko aliko ndio utamjua zaidi
Hakuna kikomo cha kuhama chama,akihama hata ccm demokrasia inamruhusu ndio maana leo sumaye,nyarandu na lowasa ni wapinzani...kila mtu ana haki ya kua chama chochote akipendacho,chama ni itikadi na sera sio ukoo huo usihame
 
Linapondwa na wajinga zaidi
Thibitisha. Hili ni miongoni mwa magazeti yanayoendeshwa kijinga, yanaandaliwa kijinga kwa ajili ya wajinga. Haya pamoja na Tanzanite, Tazama; na the like ukienda kwa printer unakuta yamelipiwa matoleo hata matano ya mbele ili yaandike ujinga kwa ajili ya wajinga! Sales zake hata 1/100 haifiki. Kawadanganyeni wajinga wanzenu!
 
Ukija kwenye appreciation hoja yangu ni kwamba vyama pinzani vimekosa hio appreciation kwa taifa lao na wanaoliongoza sasa sioni sababu why samson inabidi amuappreciate mbowe ikiwa mbowe kwa akili zake timamu amegoma kuappreciate juhudi za serikali...hatuezi kua na double standards zinazoruhusu appreciations kwa mbowe na matusi kwa raisi kama tunajikita kwenye mapungufu ya mtu basi mwigamba ana haki kuanika mapungufu ya mbowe..
Mtazamo wa kijinga unaakisi jinsi Jamvi lilivyo gazeti la kijinga!
 
Back
Top Bottom