Samson Mwigamba aelezea makucha ya Mbowe na CHADEMA

Source: Jamvi la Habari!

Jamvi la Habari ni kagazeti fulani hivi ka lumumba maalumu kwa kuichafua CHADEMA. Kama ukitaka ku-prove katika matoleo yote katika front page yake ni Mbowe, CHADEMA. Front page yake hata mkuu wa INJI hajawahi kukaa pale. Jaribuni kulifuatilia mtajanambia. Halinaga balance ya habari. Wao ni CHADEMA tu.

Gazeti la namna hii halifai kufungia hata mihogo
 
Source: Samson Mwigamba hilo gazeti limepublish tu
 
kwenye maandishi mekundu pamenifanya nikwambie usiku mwema
nimeshajua naongea na mtu wa level gani
kamalizie semester ya mwisho ndugu usije ukafeli UE
1.naeza nikawa nimekuzidi level,taaluma,ufaulu na ubora wa elimu uliyosoma 2.hio sio content ilioko meza kuu 3.jenga hoja usiattack mtu hiko ndio kinafanya viongozi wenu na vyama vyao vionekane genge la wahaini
 
Source: Samson Mwigamba hilo gazeti limepublish tu
Huo mpango wa hilo gazeti tunaujua. We jaribu kulifuatilia utakuja kugundua. Hata magufuli afanyeje huwezi mkuta kwenye front page ya Jamvi la Habari. Ni kina Mbowe na CHADEMA tu!
 
Huo mpango mimi nauona kwenye mitandao ya jamii hata maghufuli afanye jema kwa taifa kina mbowe watamtukana tu na kukosoa..
 
Sasa kakuambia anamchukia mbowe au amekana mbowe hajamkuza kisiasa??ameeleza mbowe kabadili gia angani ..na hio mwenyekiti bora afrika umeinukuu chombo kipi cha habari?ameainisha jinsi mbowe katumia mabavu kujieka mwenyekiti wa kudumu,jinsi asivyokua na demokrasia na jinsi alivyokua na uchu na utawala kiasi chA kuondoa wale waliompinga kwenye kuendesha chama
Mku mtu makini apewe umakini kumbuka ukada usikupe ukilema wa kutokuona mbele.
Mbowe sio mkubwa sana ila kwa umri aluonao ni mwenyekiti wa chama gani hapa nchini unaweza kumfananisha naye kwa kukiinua chama vipo vyama vingi vingine vinaongozwa na watu wenye umri wa baba yake mzazi mbona hatuvioni tunamwona mbowe kwa kuwa ndiyo kiongozi anayetupa challenge hapa nchi.
Hivi unaikumbuka kauli ya Rais Kikwete yakuwa chama changu kiache kutumia dola kwa ajili ya kutawala hivi anayetumia hoja na anayetumia hoja ni yupi Kiongozi bora hapa.
Mbowe sio mwepesi wa kufika bei au wakukubali kuwekwa mfukoni kama hao wengine wenye umri wa baba yake heshima yake apewe kwani ni kiongozi wa kuigwa
 
Ukisema wenye kiti waliokinua chama chao ni maghfuli,CCM ilikua imepoteza imani yake kwa wananchi ila JPM amekiinua chama kutoka kwenye chama cha mafisadi kuja kwenye chama cha wachapakazi..hakuna mtu aliwah tegemea wanasiasa wa upinzani wangevutiwa na chama tawala yamtokea hayo...na hali imekua tofauti kwa mwenyekiti mbowe wa kudumu..hivi uchaguzi wa uongozi wa chadema unafanyika lini?
 
..Dr.Slaa alisema akiwa Raisi atamfuna jela Magufuli kutokana kashfa ya kuuza nyumba za serekali.

..muanze na Dr.Slaa kujua nini kimemfanya abadili msimamo wake
 
Ukisema wenye kiti waliokinua chama chao ni maghfuli,CCM ilikua imepoteza imani yake kwa wananchi ila JPM amekiinua chama kutoka kwenye chama cha mafisadi kuja kwenye chama cha wachapakazi..hakuna mtu aliwah tegemea wanasiasa wa upinzani wangevutiwa na chama tawala yamtokea hayo...na hali imekua tofauti kwa mwenyekiti mbowe wa kudumu..hivi uchaguzi wa uongozi wa chadema unafanyika lini?
Ccm wanafanya siasa pekee yao polepole anazunguka nchi nzima anafanya mikutano ya nje na ya ndani anaandamana lkn upinzani wakifanya siasa polisi wanawafunga
 
Sasa kakuambia anamchukia mbowe au amekana mbowe hajamkuza kisiasa??ameeleza mbowe kabadili gia angani ..na hio mwenyekiti bora afrika umeinukuu chombo kipi cha habari?ameainisha jinsi mbowe katumia mabavu kujieka mwenyekiti wa kudumu,jinsi asivyokua na demokrasia na jinsi alivyokua na uchu na utawala kiasi chA kuondoa wale waliompinga kwenye kuendesha chama
Tufanye kwamba ni kweli Mbowe ni mtu mbaya sana na CHADEMA ni mbaya sana.

Ok, so what? Mbona mnapata shida sana na Mbowe, anawapigia wake zenu nini?

Mmeshindwa kufika bei, mmebakia na kelele za kwenye madanguro.
 
Hata mwalimu nyerere alikuwa kipngozi wa TANU na ccm kwa zaidi ya miaka 20 akijenga chama. Unaruhusiwa kujenga chama ilaikifikia kuwa mkuu wa serikali hapo ni tofauti.
Ila Mbowe ni mtu pekee kiongozi bora kuliko wote Tanzania. Very educated. I am not talking about being to school I am talking about being educated. You cannot buy class. You are born with it. Mbowe is born with class.
Unlike some leaders who have PhDs but act like people who have not seen inside of a class room.
Ni kama huyu Mwigamba na mafisiem wengine wanaotafuta cheo kwa kutukana wapinzani ili waonekane wakona mkuu. Total illiteracy!
 
Ukisema wenye kiti waliokinua chama chao ni maghfuli,CCM ilikua imepoteza imani yake kwa wananchi ila JPM amekiinua chama kutoka kwenye chama cha mafisadi kuja kwenye chama cha wachapakazi..hakuna mtu aliwah tegemea wanasiasa wa upinzani wangevutiwa na chama tawala yamtokea hayo...na hali imekua tofauti kwa mwenyekiti mbowe wa kudumu..hivi uchaguzi wa uongozi wa chadema unafanyika lini?
Mku ukisema amekiinua chama inatakiwa uwe na vitu. Vinavyoonekama ndani ya chama na nje ya chama ili kukipa chama uungaji au ufuasi.
Ukisema amekiinua chama unatakiwa uelezee anakiinua vipi.
Kiuchumi au kisiasa kwa haya yote nikiwa kama mwanachama nitasema hajafanikiwa kwani uongozi sio ubabe ni ushawishi wa hoja kinachotumika ndani ya chama ni ubabe na huo ubabe unasababishwa na kutojiamini anahisi uasi ndani ya chama.
Nchi ni ya vyama vingi then unazua wapinzani wako tutokujihusisha na mambo yao huu uoga na kumbuka malalamiko ni mengi sana ndani ya chama ila wanachama wanaongelea vichochoroni kwani tunaongozwa kwa ubabe kiongozi hataki wakuuliza swali.
Hivi hizi Waraka zote zilizotolewa na viongozi wa imani unafikiri malalamiko ni ya kwao ni kwamba mambo yalivyo na yanavyoendeshwa yanaonekana bila kuficho.
Yaani umtoe mpiga kura tandika akapige kura kinondoni huku ndo kukirudishia chama uhai huu ni uongo
 
Mtahangaika sana na mbowe. Oh!ni DJ. So what. Alikuwa katika biashara ya baba yake. Wakati wewe ukichunga ngombe.

Tofauti wewe na yeye ni kuwa yeye kazaliwa kwenye mwanga na wewe kwenye kiza nene. Kwa hiyo wote wanaotamani anguko la Mbowe wanaona uchungu sana hata kuwalip wakina Magamba ili tu waseme upuuzi wamchafue.

Kama Bashite alishindwa kumchafua na hoja zake za hovyo kuhusu dawa za kukevya itakuwa upuuzi huu wakusema eti aliwaita watu fisadi ama kakaa mno kwenye kiti. Yeye siyo rais. Ni katiba ya chama chao siyo cha serikali.
Wewe siyo mwanachama ongelea mazuri ya chama chako.

Eti sera ya Chedema ni ufisadi tu na sasa imeisha. Nani kakuambia imeisha. Kama imeisha kwa nini wanafungwa midomo? Na una akili gani kufikiri kuwa sera yachama fulani ni moja tu.

Sera ya elimu, kupambana na madisadi, nyumba bora, kulinda raslimali ya nchi nk zote za chadema ccm imezifanya zake lakini hawajajipanga utekelezaji wake ndiyo maana mambo shagala bagala.
 
Mku ukisema amekiinua chama inatakiwa uwe na vitu. Vinavyoonekama ndani ya chama na nje ya chama ili kukipa chama uungaji au ufuasi.
Ukisema amekiinua chama unatakiwa uelezee anakiinua vipi.
Kiuchumi au kisiasa kwa haya yote nikiwa kama mwanachama nitasema hajafanikiwa kwani uongozi sio ubabe ni ushawishi wa hoja kinachotumika ndani ya chama ni ubabe na huo ubabe unasababishwa na kutojiamini anahisi uasi ndani ya chama.
Nchi ni ya vyama vingi then unazua wapinzani wako tutokujihusisha na mambo yao huu uoga na kumbuka malalamiko ni mengi sana ndani ya chama ila wanachama wanaongelea vichochoroni kwani tunaongozwa kwa ubabe kiongozi hataki wakuuliza swali.
Hivi hizi Waraka zote zilizotolewa na viongozi wa imani unafikiri malalamiko ni ya kwao ni kwamba mambo yalivyo na yanavyoendeshwa yanaonekana bila kuficho.
Yaani umtoe mpiga kura tandika akapige kura kinondoni huku ndo kukirudishia chama uhai huu ni uongo
Kiuchumi huoni miradi ya ccm inayozinduliwa na kukaguliwa chini ya polepole kila siku? Msikeshe kwenye mitandao ya kijamii mkipandikizwa chuki mkashindwa kujivunia kua wa Tanzania angalieni vyombo vya habari muone maghufuli anayoyafanya,hudhuria hata sheree za uzinduzi wa mradi wowote ni bure. Msijikite kwenye mangufu ya mtu kila binadamu ana yake hata mbowe pia..njoeni na hoja zitakazowarudisha kwenye upinzani kwanini ni chadema ndio kinaonewa sio act,cuf,nccr,tlp au chauma?? Nyie mnapigwa vita kwa sababu mmekua genge la wapinga maendeleo sio chama cha upinzani tena..hamkosoi,mnatukana..hamji na mapendekezo,mnapandikiza chuki huo ni uasi viongozi wenu watahukumiwa na sheria
 
Jiuchumi

Mwanaccm tunakokosea msema kweli siku zote anaonekana ni chadema sasa ww unatofauti gani na yule asiyependa maswali
 
Unacholilia wewe ni uhuru wa kumtukana rais wako ?
Kwa hiyo malamiko huyaoni mpaka mpaka Maskofu wanatoa waraka bado huoni sio.
Mku mwenye nia nzuri huonekana na upingaji uzidi mpaka kwa Makundi ambayo ulikuwa hutegemei basi jaribu kujicheki mwenyewe ktk akili yako kama mahali hauko vizuri
 
Back
Top Bottom