Samora M. Machel

Samora M. Machel

Frontline%20leaders%20at%20a%20conference%20in%20Lusaka%20%20Zambia%20Sam%20Nujoma,%20Kenneth%20Kaunda,%20Samora%20Machel,%20Julius%20Nyerere%20%20Robert%20Mugabe,%20Jose%20E.%20dos%20Santos.jpg

Aih....wamependeza wenyewe.
KK mashallah.... kama Hollywood material vile!!
 
Zamani nilisoma kitabu kilichoandikwa na KGB wakielezea kwa undani uhusika wa CIA serikali ya kibaguzi kwenye kifo cha Machel. Nilikuwa bado mdogo darasa la sita nakumbuka wakati nakisoma kile kitabu, waliweka details za kutosha namna mpango ulivyofanyika na hatimaye kufanikiwa kunasa ratiba ya safari za Machel na namna walivyotekeleza....

Ikumbukwe kwamba wakati ndugu zetu na Dunia wanapinga ubaguzi wa rangi, Wamarekani hawakuwa mstari wa mbele ktk hilo na waliwakumbatia wabaguzi.

Loh! mmenikumbusha mbali kweli.
 
Mkaburu walimtega SAMORA kwa kumwambia akutane nao kwenye mji wa Nkhomati ili waweke suluhu. Nakumbuka Mwalimu alipinga sana hili lakini Samora akaamua kwenda na matokeo yake aka uawawa. Mwalimu aliumia sana na akashindwa hata kumzika.
 
Hapana Mkuu. Nilishamkumbuka zamani na wengine wakatoa jibu tayari. Huyo ni Sam Nujoma wa Namibia.

Hata Dar kuna Barabara ya Sam Nujoma kwa kumbukumbu yake.
huyo ni JOCHIM CHISANO WA MPLA
 
Nampenda sana samora...na first born wangu ataitwa "samora"
 
Back
Top Bottom