Mkuu Mbuzi Mzee hapo ndo alikua anakabithiwa kichenchede au vipi?Casamento de Samora e Josina Machel, em Maio de 1969
Mkuu Mbuzi Mzee hapo ndo alikua anakabithiwa kichenchede au vipi?Casamento de Samora e Josina Machel, em Maio de 1969
Mkuu Mbuzi Mzee hapo ndo alikua anakabithiwa kichenchede au vipi?
Enhee, jamaa ndio alikuwa anchukua jumla jumla, bahati mbaya kafariki na Babu wa Bondeni kachukua mali, mweee
Naitafuta kwa muda mrefu picha ya Samora akihojiwa na Jenerali Ulimwengu kwenye meza ya miti msituni, nina uhakika niliiona picha hiyo nikiwa mdogo kwenye (labda kama nilikuwa naota) - mkiiona popote naiomba mnifikishie, pia mfikishieni Jenerali ujumbe huu!
Huyu katikati ni nani? Nimemsahau kabisa jina: