Samora M. Machel


MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Yani Mbuzi Mzee unanikumbusha enzi zile za marehemu bibi maana alikuwa ananipigia stori za huyo bwashe.
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,260
Points
2,000
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,260 2,000
Mkuu mbuzi mzee inamaana Samora Machel alitokea wilaya ya Gaza?, Great sons of Africa.
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Points
1,250
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 1,250
From left to right:
Sam Nujoma, Samora Machel with Kenneth Kaunda and Mugabe1980: African Head of states at a conference in Lusaka, Zambia.
From left to right:
Sam Nujoma, Kenneth Kaunda, Samora Machel, Julius NyerereRobert Mugabe, José E. dos SantosSamora Machel with Graca Machel

 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Mkuu, watu wengi hawajui hawa wakuu walio komboa Africa. Mungu awalaze pema peponi
Haswaaa,
Ndo maana wanabaki wakiwa wanatoa mapovu mdomoni badala yakusoma historia/kuomba wazee wazamani wawape stori za wakombozi wa AFRICA ili waweze tambua wapi wametoka na wapi wanapaswa kwenda.
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Nimehangaika weee mwisho ndiyo nimemkumbuka. Hata Dar tuna barabara ya jina lake na sisi tumemsahau. Huyu Mzee mwenye madevu wa kwanza kushoto ndiyo SAM NUJOMA mwenyewe aliyekuwa Rais wa Namibia.
Mijidevu kama uchfu wa sumaku!!!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,285,555
Members 494,670
Posts 30,866,692
Top