Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,201
- 3,008
Hujaonyesha kosa la Mbowe zaidi ya kutaka Hangaya aabudiwe,Mama anahuruma sana, amefanya mazuri kwa viongozi wenu, wengine amewakuta lockup amewatoa, na faini mmerudishiwa lakini pamoja na yote bado mkaendelea mnamfanyia dhihaka, dharau na kujichukulia maamuzi mnavyotaka kwakuwa tuu huyu ni mwanamke acha tufanye tunavyotaka. Sasa hiyo ndiyo shukurani!!! Ninyi hata awafanyie wema gani huyu mama mtaendelea kumchukia, kumzarau na kujichukulia maamuzi.
Mimi acha niseme ya moyoni, chama kikiwa chini ya viongozi wa kichagga sitegemei kuja kushika dola, wengi wenu mnaasili ya ujeuri na ukorofi sasa mmpewe dola kweli!! Si mtatumaliza kabisa.
Ili chadema iendelee kuwepo na kufika mbali na hata kushika dola yawapasa mkivuruge, toeni viongozi wote wa kichagga safisheni kabisa mwanze upya na makabila mengine kama vile wasukuma, wazigua, wanyakyusa, wanyamwezi, waha na akina tundu lisu n.k utaona kama hamjafika mbali na hata kushika nchi.