Kwani wanashindana na nani??Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
mafisadi,atakuja kumiminwaMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Chini ya ufadhili wa Rost Tam Aziiv!!.BILIONEA Samia
Amesahau kuwa chadema hawashiriki uchaguzi,mzimu wa chadema unatafuna watuMgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Huyu egnek hana aibu hata chembe!Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.
"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Akiendelea na kampeni katika jiji la DODOMA Leo akiwa katika wilaya ya kondoa Rais samia anaisifu CCM kwa kumimina fedha na sio mwendo wa tonetone!!
View attachment 3460278
okAkiendelea na kampeni katika jiji la DODOMA Leo akiwa katika wilaya ya kondoa Rais samia anaisifu CCM kwa kumimina fedha na sio mwendo wa tonetone!!
View attachment 3460285View attachment 3460287View attachment 3460291
View attachment 3460278
Hana skills za publick speaking , bora asome kwa kuandikiwaMimi huyu mama yetu kuna mda akiwa anahutubia,naona aibu kwa baadhi ya maneno anayoongea!......Mimi sio nabii lakini laiti huyu angesimama na lisu mwaka huu ccm walikuwa na nafasi kubwa ya kupoteza kiti cha uraisi coz wana mgombea bogazi kweli kweli