GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.

Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.

"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
Wanamtandao noma kwa kweli, duh...
 
Ingefaa waache kuwazungumzia hao Chadomo
 
Ukiwa kiongozi Kosa vyote ila usikose akili za kuchanganua mambo ya kuongea mbele za watu
 
Hajui anachoongea huyu. Kwanza anaowananga hawashiriki Uchaguzi. Hizo pesa za hayo maendeleo anayosema anazitoa yeye? Hao abawasema wanatumia tone tone si watanzania? Hawalipi Kodi kama watanzania wengine yakiwemo ma CCM.

Huu ni mwanzo tu wa Kampeni, tayari kachoka, muwe mnamwandikia Cha kuzungumza!
 
Ukiwa kichwa kibovu hata kuandikiwa haisaidii
 
"Ndugu zangu Wanakondoa hapa tupo mafiga matatu, kuna mimi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mgombea ninaomba kura zenu, lakini pi ninawaombea kura wabunge hawa wawili lakini pale tunapomimina fedha ndani ya wilaya ya Kondoa...kwasababu sisi hatuendi na 'Tonetone', sisi tunamimina fedha, kwahiyo tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, madiwani hawa ndiyo bunge lenu..tunaomba mtuletee pia",- Dkt. Samia.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa kampeni ya uchaguzi, wilayani Kondoa mkoa wa Dodoma leo tarehe 31 Agosti, 2025
 
Wa tonetone mbona hawapo kwa uchafuzi? Angempasha mpinzani wake Mwajuma na Mwalimu tu kampeni ziendelee...

Au bila simba hana legitimacy?
 
Mama yenu hana akili hizo! Uwezo wa kujenga hoja ni mdogo sana like an average woman in our village! Huyu mama ni aibu kwa Taifa!😁😁😂😂
 
Hana kampeni manager ? Mbona hizi ni siasa chonganishi kwa waTZ ? Kweli nchi hii tulivyochoka kila kitu bei juu kazi mishahara midogo aliyopaswa kutukwamua kwenye haya au kutu comfort ndio anatuambia yeye ni mmimina hela 😲 Hela za wanyonge walipa kodi leo ni za kumiminwa 🙌
 
Back
Top Bottom