Tone is the use of pitch in language to distinguish lexical or grammatical meaning—that is, to distinguish or to inflect words. All oral languages use pitch to express emotional and other para-linguistic information and to convey emphasis, contrast and other such features in what is called intonation, but not all languages use tones to distinguish words or their inflections, analogously to consonants and vowels. Languages that have this feature are called tonal languages; the distinctive tone patterns of such a language are sometimes called tonemes, by analogy with phoneme. Tonal languages are common in East and Southeast Asia, Africa, the Americas and the Pacific.
Tonal languages are different from pitch-accent languages in that tonal languages can have each syllable with an independent tone whilst pitch-accent languages may have one syllable in a word or morpheme that is more prominent than the others.
Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Mwanaharakati wa mitandaoni, Mange Kimambi, amewajia juu wanasiasa na kueleza kusikitishwa kwake na hatua yao ya kubadili mwelekeo wa kisiasa baada ya kukusanya michango ya fedha kutoka kwa wananchi.
Kupitia ujumbe aliosambaza kwenye mitandao ya kijamii, Kimambi amedai kuwa wanasiasa hao...
-hii inchi inavituko sana na concentration ipo kwenye mambo yasiyo na tija kwa inchi.
- makelele ya watu probably walioandaliwa toka huku na kule ati hevhe amekula michango ya tone tone yametoweka ghafla..
-Hii ni indicator kwamba; either ochestra wa haya yote anaupeo mdogo sana au CDM...
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?
Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,
unadhani...
Hii ni fedheha kwa uongozi wa kitaifa wa chadema. Ingekua ni Ulaya wanapaswa kujiuzulu.
Ni wazi chama kimewashinda.
Swali ni je, hivi ni kweli viongozi wa chadema taifa wameshindwa kabisa kuhamasisha wana chadema kuchangia milioni 334 tu? Au hawakubaliki wala hawaheshimiwi tena na wanachama...
Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA.
Nashauri,
Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup.
Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
Nimeona tone tone Mwanza imeingia mtaani, Mnyika na Heche njoooni mtaani mbebe Hela tunazo sisi hatuwezi tumakwa simu au benk HAYA majamaaa yatatunyaka sisi ni nyoka jeusi tupo nao ndani njoooni mtaani tutakutana niwape tone tone
Nakumbuka mwaka Jana baada ya uchaguzi wa CHADEMA, kundi la G55 lililohamia chaumma lilidai limehama kwa sababu ya CHADEMA kutokushiriki kwenye uchaguzi mkuu kupitia kauli mbiu ya no reform no election. Moja ya hoja za G55 ni kwamba CHADEMA haiwezi kumudu kujiendesha bila Ruzuku, hivyo chama...
Erythrocyte kuweni macho na upuuzi huu. Ksikubali kutoka kwenye malengo. Achaneni ja ujinga huu. Concentrate kwenye issues, pressing issues za chama kama ulinzi wa Heche na viongozi wengine. Nenda International to seek support from Europe, USA and the like.
KATAEMI KUYUMBISHWA, AS LONG AS...
Huyu mtu tayari kachoka wakati ndio kwanza kaanza Kampeni, sifahamu huko mbele itakuwaje.
Nimemsikia anasema wao wanamimina mamilioni kwa ajili ya miradi ya Maendeleo na kwamba wao hawategemei tone tone.
Binafsi nimejiuliza, sawa kwenye Siasa kupiga vijembe na porojo kwa mpinzani wako ni jambo...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia.
Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa...
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
HII SIYO GALA NI KUGALAGALA
Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini. Hatujaambiwa zimepatikana ngapi mpaka sasa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha ushindi. Tuombe mtangazaji...
Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji...
Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi.
Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si...
Kumekuwa na poster ambayo inazagaa kwenye mitandao ya kijamii ususani wa facebook akimutuhumu Godless Lema kwa kutumia fedha za TONETONE kwa manufaa Binafsi Jambo ambalo Boniphace Jacob ameona sio zuri.
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.
Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it...
Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga.
https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
Wawatembelee:-
1. Viongozi wa dini.
2. Wafanyabiashara.
3. Marafiki wa chama wa nje na ndani ya nchi.
4. Asasi za kiraia.
Kwa lengo la kutunisha misuli ya kifedha kupitia wadau hao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.