Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

Lawama zote ziwaendee:
1. WanaCCM, hasa wanaume wa CCM Tanzania bara kwa kuruhusu Tanzania bara ipelekeshwe hivyo kiasi hiki ilhali Wana nafasi ya kurekebisha.

2. Jeshi la Wananchi. Mmekuwa jeshi la walanchi.
 
Serikali imesema kabla ya mwaka huu wa fedha 2025/2026 kuisha itakuwa imetangaza nafasi za ajira mpya 45,000 kwa kada mbalimbali ambazo utekelezaji wake unafanyika.

Kauli hiyo imetolewa Bungeni leo Jumanne tarehe 27 May 2025 na Naibu Waziri, Deus Sangu ambaye amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2025/26 Serikali imeidhinisha jumla ya nafasi 41,500 za ajira mpya kwa kada mbalimbali ambazo zitawalenga kuajiri wahitimu stahiki.
ulivo chawa mpumbavu bado unaamini hizo ngonjera za bunge la machizi? utasubiri sana mpuuzi mkubwa
 
Ila ajira za uchawa na ukunguni zipo na ni jukumu lake ili asifiwe .?
images - 2025-05-07T213738.388.jpeg
images - 2025-05-07T213715.672.jpeg
 
Back
Top Bottom