Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

Kweli ni Vema na Haki Gen Z - wakenya wamchore kwenye vikarogosi/ vibonzo vyao na wajimwambafai naye huko Mtandaoni kwa kadri inavyowapendeza
 
Serikali imesema kabla ya mwaka huu wa fedha 2025/2026 kuisha itakuwa imetangaza nafasi za ajira mpya 45,000 kwa kada mbalimbali ambazo utekelezaji wake unafanyika.

Kauli hiyo imetolewa Bungeni leo Jumanne tarehe 27 May 2025 na Naibu Waziri, Deus Sangu ambaye amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2025/26 Serikali imeidhinisha jumla ya nafasi 41,500 za ajira mpya kwa kada mbalimbali ambazo zitawalenga kuajiri wahitimu stahiki.
Nani mkubwa kati ya rais na Waziri?
 
Bi mkubwa tumekuverifai.....
View attachment 3349783
Screenshot_2025-05-16-10-30-57-181_com.twitter.android.jpg
 
Kweli kayaongea haya?
Masikini Africa
Serikali haijui majukumu yake kwa wananchi
 
Si anajua hakuna cha kumfanya!! YY na mwanae abdury wanakula mema ya nchi.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Huko duniani wanakojielewa hili ni mojawapo ya jukumu kuu la serikali pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.
Jukumu la serikali ni kuweka Mazingira yanayochochea Ajira. Ni jukumu la sekta binafsi kutengeneza Ajira.
 
Hawa Vijana wa Tanzania wako wapi?Simba na Yanga?
 
Back
Top Bottom