Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,803
KabisaaaMungu nifundishe kunyamaza
Serikali imesema kabla ya mwaka huu wa fedha 2025/2026 kuisha itakuwa imetangaza nafasi za ajira mpya 45,000 kwa kada mbalimbali ambazo utekelezaji wake unafanyika.Kabisaaa
Nikitaka kushangaa wakati tunaona ajira zinavyotoka leo aseme hayo kweli?Hio sio ya leo kashatoa kibari cha ajira 33,212 kabla ya mwaka huu wa Serikali kuisha zitakua zimeshatoka na zinaendelea kutoka
Acha ujinga
Huyo Bundi tu mpuuzeNikitaka kushangaa wakati tunaona ajira zinavyotoka leo aseme hayo kweli?
Na wewe ni Bundi au Kenge au Kibwengo?Kama sio kutekana ningeandika kitu hapa msingeamini.
Hiki nini tena?Bi mkubwa tumekuverifai.....
View attachment 3349783
Bundi huyo mpuuzeNdio maana Huwa hamleti story nzima.
Wachochezi mnajua kuchomoka na kaneno kamoja Kisha mbio kwenda mitandaoni kuandika.
Juzi juzi waliajiri zaidi watu Elfu 13 kwa elimu, afya, polisi n.k. Hizo ni ajira za wapi? Na juzi tarehe 27 Menejimenti ya utumishi wa umma imetoa Taarifa bungeni kuwa Serikali itatoa ajira rasmi 45,000 katika mwaka 2025/2026
Au sio🤣Mungu nifundishe kunyamaza
ili muendelee kulawiti au ? naona mshanogewa na kula macho ya wapinzani.Bi mkubwa tumekuverifai.....
View attachment 3349783
Oyaaa we ni kenge wa ndani au wa nje???ili muendelee kulawiti au ? naona mshanogewa na kula macho ya wapinzani.