Heheheheee huyo jamaa ana kichwa ngumu sana hawezi kuondokaManeno ya kiivi, kama naambiwa mie na muda huo ndo nimeingia ofisini asubuhi, wallahi narudi hom, saa hiyohiyo! Hadi the followin' day nianze siku mpya.
Dah umesababisha nimekuja huku sokoni kumtafuta ili nikamuandae nianze kumla kwa raha zangu lolErickb52 kaka raha ya sato acha kabisa! hawana mafuta, hiyo ndiyo haswa sifa yao kuu! nikimuweka viungo kwa bamia za nazi na ugali! acha kabisa best, halafu ana style yake ya kumla kama nilivyokwambia, anza na jicho na mkia, kisha ndio umgeuzegeuze taratibu, utakuja niambia mimi tamuje thatha???
kizuri kula na mwenzio Erickb52 na kitamu ramba na mwenzio, maadam umenialika, nitakuwa mchoyo wa fadhila kutoridhia ombi lako, haswa ukizingatia jei efu we are one family, nitakuja kaka. kikiiva tu niPM, fasta nitakuwa hapo! tutaanza na jicho kisha tumalizie mkia, hiyo imekaaje?? usisahau pilipili manga!Dah umesababisha nimekuja huku sokoni kumtafuta ili nikamuandae nianze kumla kwa raha zangu lol
Utakuja tumle kwa ushirikiano cacico ?
Kwa hilo usijali na uko juu sanakizuri kula na mwenzio Erickb52 na kitamu ramba na mwenzio, maadam umenialika, nitakuwa mchoyo wa fadhila kutoridhia ombi lako, haswa ukizingatia jei efu we are one family, nitakuja kaka. kikiiva tu niPM, fasta nitakuwa hapo! tutaanza na jicho kisha tumalizie mkia, hiyo imekaaje?? usisahau pilipili manga!
Vi whaat ? Mi sijasikia unaongea kwa sauti ya chini mno!
Hebu nyanyua sauti urudie vi...?
dah,sasa analiwaje na ladha ya kojo?
possibly!
jamani shem unataka jirani asikie au una lako jambo????