Samaki!!!!!!!!!!

Na wewe naweee!
Kwani Pweza ni samaki?
Ndo matatizo ya kuishi Singida

Maneno ya kiivi, kama naambiwa mie na muda huo ndo nimeingia ofisini asubuhi, wallahi narudi hom, saa hiyohiyo! Hadi the followin' day nianze siku mpya.
 
Ushawahi kumla mbasa? na mbelele je? hao wanatokea ziwa nyasa, ni balaa

Nilienda kutembea Kyela long time ago wenyeji wakaniletea kwa heshima wakidai msimu huo wameadimika na wako so expensive,,,nilikaribia kung'ata vidole kwa utamu wa huyu samaki..
Mbelele sijawahi kumla
 
Shem nawee!
Kumbe vilijipa? Hata basi taarifa rasmi kwamba ushadaka mstiri huntonyi ? Afu umesahau kama hii makitu nilikwishaiona nje ya box? Nikaiweka palepale kwenye comment.

dah,we utakuwa mrithi wa sheikh yahya wewe. me cku ile nilihc bt nkasema ngoja nitulie kdg. . . . bdae akanipm kuwa ni mie. nami bila ajizi nkamkubalia make sobhuza c alinitaliki. . . . nyu couple hyo hebu ongezen kuleee!
 
umeonaeeeeee Erickb52 nilijua tu utashabikia ukipita mitaa hii!! mtoto mpana weye ka gate la ikulu! haya kazi kwako wakati wa kumla, usijejing'ata tu, au kupata mtikisiko wa ubongo kwa utamu wake.
Heheheheheeeeeee
Upana una raha yake kama kumla samaki...hasa unapokula kichwa lol unaweza kupaliwa kwa utamu...
Halafu cacico hujanambia we sato unawapendea nini
Hebu funguka faster
 
Last edited by a moderator:
dah,we utakuwa mrithi wa sheikh yahya wewe. me cku ile nilihc bt nkasema ngoja nitulie kdg. . . . bdae akanipm kuwa ni mie. nami bila ajizi nkamkubalia make sobhuza c alinitaliki. . . . nyu couple hyo hebu ongezen kuleee!

Nimekuread Bibie, bt kuongeza kule kwenye statiscs , mkuu wa kitengo labda awe ameni'allow, unataka Preta anipige BAN ?
 
Last edited by a moderator:
Heheheheheeeeeee
Upana una raha yake kama kumla samaki...hasa unapokula kichwa lol unaweza kupaliwa kwa utamu...
Halafu cacico hujanambia we sato unawapendea nini
Hebu funguka faster
Erickb52 kaka raha ya sato acha kabisa! hawana mafuta, hiyo ndiyo haswa sifa yao kuu! nikimuweka viungo kwa bamia za nazi na ugali! acha kabisa best, halafu ana style yake ya kumla kama nilivyokwambia, anza na jicho na mkia, kisha ndio umgeuzegeuze taratibu, utakuja niambia mimi tamuje thatha???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom