Samaki wa ajabu jamani huyooooooooooo

Samaki wa ajabu jamani huyooooooooooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
148644_456539687740416_1237053329_n.jpg


Leptocephalus - The Transparent Fish
 
Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...
 
Mkuu MziziMkavu vipi huyu samaki anafaa kwa kitoweo?kwa macho tu nimemtamani sana kumla supu!
 
Last edited by a moderator:
..anaonekana mtamu sana,huku kwetu mwanakwerekwe wanapatikana kweli hawa...?? ngoja nienda kuwasaka...
 
Wanadamu tungelikuwa hivi, hakika tungalijua huyu wa Kigogo na huyu wa Masaki...maana kila kitu tumboni kingelikuwa dhahiri...


Mkuu kwa huyu samaki tumboni hukuonekani ni transparent....sasa udhahiri wa tumbo la vigogo utatoka wapi?
 
Back
Top Bottom