babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,935
- 20,229
- Thread starter
- #41
Wapo samaki wengine wengi tu wadogodogo, huyo mbasa ni mkubwa wao.Nahisi kuna samaki wapya watakuwa wamepandikizwa na Hawa samaki wa asili wakawa chakula
Ngoja yuko mtu huko Songea karibia na Ziwa Nyasa ataleta akipata.