Samaki Mbasa

Samaki Mbasa

Siwaiti wakuu, twende kwenye mada.
Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko.
Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta.
Nilienda mwaka 2016.
Sikukuta kitu,
Wameenda wapi?
Ni samaki tasrte vit vin
somo la tokyo hatukuelewana
Ndiyo maana Tz ilituhumiwa kuhamisha biconi za mpaka wa ziwa nyasa.Kwamba tuliingia ndani.by the way sijui hizi tuhuma ziliishia wapi?
 
Overfishing, na wana slow birth rate, ni vema wadau waanze kuwazalisha ktk mashamba ya kutengeneza I.e fish ponds
Wazo na Ushauri mzuri sana huu. Naongezea tu kwamba Utafiti wa kina ufanyike (au kama tayari zipo Taarifa OK) kubaini changamoto zilizopo e.g. magonjwa au mahitaji maalum katika kilimo hicho na muda wa kupata mavuno n.k..
 
Tuliwahi fanya utafiti pale TAFIRI Kyela, ila walikuwa samaki wengine wa ziwa nyasa na sio Mbasa.

sifahamu kwa sasa wamefikia wapi juu ya zile tafiti.

Mitandaoni usipo kuwa makini unaweza potezwa vibaya mnoo! Huyu samaki anavyo sifiwa na ukakutana naye live ataelewa.
Naweza sema kwanza si samaki wa kumpa mtoto kama samaki wengine kwa sababu samaki huyu ana miiba ipo kama delta ndani ya mnofu hii ndiyo sifa pekee mbaya inayo mfanya huyu samaki kuwa wa hovyo! Pili ana mafuta mengi mno kiasi ambacho usipo mpika vizuri utajutia pesa yako manaa anaiva vibaya mnoo!
 
Labda ni mtu kuzifuatilia -Lakini kama lengofiche lilikuwa ni Maokoto; basi ndo imetoka hivyo.
 
Mitandaoni usipo kuwa makini unaweza potezwa vibaya mnoo! Huyu samaki anavyo sifiwa na ukakutana naye live ataelewa.
Naweza sema kwanza si samaki wa kumpa mtoto kama samaki wengine kwa sababu samaki huyu ana miiba ipo kama delta ndani ya mnofu hii ndiyo sifa pekee mbaya inayo mfanya huyu samaki kuwa wa hovyo! Pili ana mafuta mengi mno kiasi ambacho usipo mpika vizuri utajutia pesa yako manaa anaiva vibaya mnoo!
Samaki Mbasa na mbufu kimaumbile wanakaribiana mfanano na Kambale. Mbelele ndiye anayefanana kwa kiasi fulani na Ningu au Sato. Huyu mbelele ndiye mwenye "Network" ya mifupa ndani ya minofu yake. Mbelele akiokwa (akichomwa) baada ya kuwekewa vile vijiti mdomoni hadi mkiani ili aive amenyooka Utampenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom