Samaki Mbasa

Samaki Mbasa

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
15,934
Reaction score
20,226
Siwaiti wakuu, twende kwenye mada.
Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko.
Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta.
Nilienda mwaka 2016.
Sikukuta kitu,
Wameenda wapi?
Ni samaki tasrte vit vin
somo la tokyo hatukuelewana
 
Siwaiti wakuu, twende kwenye mada.
Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko.
Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta.
Nilienda mwaka 2016.
Sikukuta kitu,
Wameenda wapi?
Ni samaki tasrte vit vin
somo la tokyo hatukuelewana
Ukiwapata niambie mkuu,nimewamisi mbasaa na kawali!
 
Rahisi kumbe,nakuja Kyela!
Unapoenda nijulishe nikupe namba ya mtu atakaekupatia Mbasa mzuri toka ziwani. Anakufikia mzima kabisa. Hata ukitaka kuwasafirisha mpaka dar ni rahisi tu. Unaweza kuwaweka kwenye ndoo na jiwe kubwa la barafu. Hata wiki wanakaa. Ni kumwaga tu yale maji ya barafu yaliyojichuja. Au kuweka barafu lingine tu.

MUHIMU ukifika kyela usinunue wale wanaotembezwa mitaani. Hao ni wa kutoka Malawi. Kule Malawi wana mradi wa ufugaji kila aina samaki wa ziwani,wanawafugia humo humo ziwani. Ukila hao samaki unaweza kuwachukia samaki wa kyela in general kumbe umekula wa kufugwa
 
Kipindi hiki ndio wanaanza. Kufikia mwezi wa 5,6 kipindi cha mpunga kuchanganya ndio nao wanachanganya. Hapo mbasa kilo 7 unampata kwa elfu 15 mpaka 20+
Hapa kuna makosa ya uandishi au ndiyo bei yake

Kilo 7 elfu 20??
 
Siwaiti wakuu, twende kwenye mada.
Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko.
Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta.
Nilienda mwaka 2016.
Sikukuta kitu,
Wameenda wapi?
Ni samaki tasrte vit vin
somo la tokyo hatukuelewana
Picha
 
Zamani niliwahi sikia nikiwa huko kwa Bibi, kwamba Raisi wa Malawi wakati huo aliwaagiza watu wa Bandari wa ziwa Nyasa kwamba wawe wanamwaga vyakula vya hotelini ili wakimbilie Malawi!
Jaribu kuwatembelea wale wavuvi wa mto Ruhuhu ila jihadhari na mamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom