Samaki asiyegeuzwa...

Samaki asiyegeuzwa...

Hivi Preta ile safari ya jumba la Mbezi Beach nilokuwa naipigia debe kila siku ilishafanyika? Maana naona hapa unamkaribisha Boflo Kawe Club.

tulienda......tumeshamaliza tofauti.....kasheshe ipo pale juzi aliponiacha mbuzi Runway.......hili zogo bado jipyaaaaaa.......
 
Alafu huyu samaki ni changu sio kibua
 
basi leo lunch....au....

unataka nikupeleke lunch wapi? Chef Pride, City Garden au??
Hebu tupia namba yako kwa pm tupange deal za ukweli
 
Samaki lazima aliwe pande zote. Atake asitake.
 
content_venus.jpg

Hizi mix races nyengine mmh
 
twende basi leo Kawe Club tukale samaki na ndizi mzuzu..........
daaah! wangu Preta tena umpate wa kuchoma.........lol! na salad yenye mayonnaise lol!
 
Last edited by a moderator:
tulienda......tumeshamaliza tofauti.....kasheshe ipo pale juzi aliponiacha mbuzi Runway.......hili zogo bado jipyaaaaaa.......

Hilo nalo litaisha, ni upepo tu .............
 
daaah! wangu Preta tena umpate wa kuchoma.........lol! na salad yenye mayonnaise lol!

Sasa hawa wa Kawe wanakuwa ni wa kuchoma, na wanachomwa ki utaalam wa hali ya juu
Preta bana tumpleke gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom