Buchanan wewe ni mods uliyekuja huku. Unawaona watu ambao wanavuruga jukwaa na unalijua jukwaa lilivyokuwa. Lugha kama uliyompa charminglady sio ya busara ni ya kutisha na ambayo ulipaswa kumpa kwenye pm yake
manoah ndio hivyo bana inabidi tuwe makini sana
Marry Hunbig sijui ni lugha gani tuongee ili mods aelewe aise
Buchanan wewe ni mods uliyekuja huku. Unawaona watu ambao wanavuruga jukwaa na unalijua jukwaa lilivyokuwa. Lugha kama uliyompa charminglady sio ya busara ni ya kutisha na ambayo ulipaswa kumpa kwenye pm yake
manoah ndio hivyo bana inabidi tuwe makini sana
Marry Hunbig sijui ni lugha gani tuongee ili mods aelewe aise
Binafsi nitaendelea kubaki msomaji hadi ntakapokuwa na nimevitiwa saaaana otherwise sina mzuka tena na jukwaa
manoah same here brother ni kuamua kutulia na kuacha mambo yaende kimya kimya aise. Yaani unasoma na kupita bila kucomment maana usije ukapata ban
Na kwako pia....ulale unono
Erickb52 nitakuwa the same aise nitakuwa msomaji tuu na wala sio mchangiaji maana haya ya kula ban ukiwa chit chat hakufai kabisa
Kule siasa kulijulikana ila mpaka chit chat tena na ban ni balaaa
Ni kweli kaka yan ndio anaharibu ndio maana mi nimekula zangu kimya isingekuwa huu uzi wako usingeniona mkuu!
Chitchat imeharibika bora nikae zangu kimya tu.
Ok, kwa hilo la lugha mnisamehe wakuu! I hope hakuna jingine! Kwa hao wavurugaji tusaidiane kuliko lawama kila wakati!
Kauli ulompa charminglady asbh ilikuwa sio ya busara. Nilikuwa natafakari siku nzima imekuwaje utoe vitisho namna ile. Kwanini usimwambie kistaarabu kuwa si vema kufanya hili na si kufoka kama polisi. Lazma umwambie mtu bila kumkwaza na ujumbe utamfikia sio kauli ya kibabe kila saa.
Watu humu ni waelewa achana na mtizamo ulionao wa POLICCM
Mr Rocky umesema la maana ila wanao vuluga hapa ni wenye ID mpya na watu wanaotoka majukwaa mengine, ila sie wenyewe humu hatuna shida.
Ni kweli.Hata mimi binafsi nlishtushwa na vile vitisho alvyompa charminglady asubuhi. Hakutumia ustaarabu wala hekma.. Alinikera sana.
Dah..kumbe hili jukwaa lina wenyewe..sikujua
Rich woman ni balaa. Nikikumbuka chit chat ilikuwa sehem ya kutolea machungu ya majukwaa mengine siku hizi eti nayo ina mods anayechungulia
Imepoteza maana sana aise
manoah ukiona kama hilo report abuse muda wowote aise wajulikane hawa watu
Erickb52 mi mpaka naogopa kuchangia au kuingia chit chat aise sio ile tuliyoizoea ila naiona mpya kabisa ina mpaka mods tena mkali kama nini
Ni kweli.
Yan km ningekuwa na uwezo wa kumlamba ban ningemlamba muda uleule ili na yeye akajifunze lugha nzuri.