Samahani wana jf

HOYANGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
187
Reaction score
28
Wana jf, ubongo ulikuwa unapenda kukua bila salaam za kujitambulisha kwenu!! Nimekosea kwa hilo !!!! Naomba kujiunga katika foleni ya kikombe cha tiba ya kupanua akili na hekima ya kupokea na kuchangia topics toka kwa wanajf!!!!! Salaam kwenu...mabibi na mabwana nipokeeni!!!
 
sasa ulishapitiliza mpaka bedroom bila hodi umeshtukia ndo unazuga kuosha eti ee?
 
Karibu sana, uwe mvumilivu tu kwa utayokumbana nayo humu. Na utaloona hapa, utalosikia hapa, utalosema hapa, uliache hapa hapa. Hiyo ni nasaha kutoka kwa mtu mzima, ukipenda ishike ukipenda iache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…