Samahani walimu ila naomba majibu toka kwenu

nilipoona makosa mengine ya kiuandishi ya huyu 'failure', kama yanavyoonekana pia katika mada zake kadhaa zilizotangulia zinazohusu walimu k.v raana badala ya laana, sarama badala ya salama n.k. lakini pia huko nyuma aliwahi kubisha katakata kuwa hakuna mwalimu tanzania hii anayepokea mshahara wa kufikia 1m; ni dhahiri ana tatizo kubwa huyu la kiakili. assumptions zangu zinaniambia yafuatayo yanaweza kuwa yamemtokea huyu 'failure' katika maisha yake na walimu:-
1. amewahi kubakwa na mwalimu,
2. amewahi kunajisiwa na mwalimu,
3. amewahi kupyambyika na mwalimu,
4. ni zao la ujauzito uliokimbiwa/kataliwa na mwalimu,
5. alikataliwa kununua cheti katika shule fulani baada ya kufeli (sina shaka na hili la kufeli)
6. ni mmoja wa hao matapeli, n.k

kama kumuelewesha mlishamuelewesha wadau, ni slow learner huyu; hakuna atakachokielewa.......tatizo lipo katika ubongo, linahitaji specialist atakaekuwa nae very close ili aweze kumhudumia kwa wakati. mtapoteza nguvu bure humu. by the way, hivi mnajua kuwa mh. nyalandu kachukua fomu leo?
 
Wastafu wanacheleweshewa Sana mafao yao, matokeo yake wanakopa kwa riba kubwa wakiwa na matumaini ya kupata pesa nyingi za mafao yao. Matokeo yake akipata mafao akifanya ukarabati wa nyumba zao inabaki pesa kidogo sana, ndiyo anakumbuka kuwa Ile pesa aliyokopa riba ni 300%. Wawape mafao yao kwa wakati miezi tisa au sita anaishije huyu mstaafu.
 
Unaonekana ulikimbia darasani kabla ya kumaliza elimu ya msingi. Nakushauri urudi tena angalau umudu stadi muhimu za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu ili uweze kueleweka kama mtu aliyefika angalau darasa lá Saba. Kinyume na hivyo Laana Maturubai itaendelea kukuandama
 
Waarimu mpoooo! Njoni huku ! Mwl. Mwenzenu kakinukisha huko misungwi! Raana za michango ya watoto masikini zinawara

Hamutabaki salama, karibu nitatangaza kazi ya uarimu imeraaniwa, haiwezekani ni warimu tu kila siku.

Yule wa mwanza ktk shule ya mkorani sekondali school nae katoka jera na lkn bado anachafua hari ya hewa.

Waalimu vipi?.
Chademaa nayo imekufa
Sijui mutakimbilia wapi .
 
Jifu
Waarimu mpoooo! Njoni huku ! Mwl. Mwenzenu kakinukisha huko misungwi! Raana za michango ya watoto masikini zinawara

Hamutabaki salama, karibu nitatangaza kazi ya uarimu imeraaniwa, haiwezekani ni warimu tu kila siku.

Yule wa mwanza ktk shule ya mkorani sekondali school nae katoka jera na lkn bado anachafua hari ya hewa.

Waalimu vipi?.
Chademaa nayo imekufa
Sijui mutakimbilia wapi .

Jifunze kuandika utopolo umekujaa

Raana ndo mini
Jera ndo nini ?

Maza Fanta
 
Ukisema anajua kuandika vizuri unakosea ... anajua kuandika lakini sio vizuri
*Raana= laana
*sarama = salama
*makubariano = makubaliano
Vingine angalia mwenyewe
Hayo makosa nimeyao "nilimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa" nilitaka anijibu kwanza nimchane maana mwalimu alimfundhisha mwanafunzi huyu amekula hasara akili zake fupi mgumu kuelewa.
 
Navyofaham ni kwamba wewe ni membar unae tafuta UMAARUFU kupitia njia hii ya kuwaponda walimu kwa kila mada yako tena ukijidai hujui kutofautisha herufi R na L(Uonekana wa kuja) .
Nina imani unauwezo sahihi wa kuandika mada vizuri kabisa kwa neno sahihi. Ila watumia mgongo huu ili tuu ujulikane .
 
Hayo makosa nimeyao "nilimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa" nilitaka anijibu kwanza nimchane maana mwalimu alimfundhisha mwanafunzi huyu amekula hasara akili zake fupi mgumu kuelewa.


Waarimu mupooo?
Kalibu nitareta uzi kuulizia kazi ya uarimu ilisharaaniwa??.

Kunafukuto jingine la warimu linafukuta very soon litachafua khari ya oxygen.
 
Kwa mfululizo huu wa kuwafuatilia walimu, ni Jambo lililo wazi kuwa unalipiza kisasi, si bure naamini kwa kufanya hivi angalau unapata amani, endelea tu mpaka nafsi yako iridhike.
Jambo la kukusaidia jingine ni kuwa, michango mashuleni ilishakatazwa, Kama Kuna Jambo lolote la kuchangia ni lazima lipitishwe na kikao cha wazazi, tena mwenyekiti wa kikao hicho siyo mwalimu Mkuu, bali ni mwenyekiti aliyechaguliwa miongoni mwa wazazi, ikifanyika vinginevyo, shule hiyo inapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
Laana unazozitaja inaonekana zinakuandama wewe, ndiyo maana unakosa adabu kwa walimu. Walimu waheshimiwe tafadhali. Tukianza kuwataja kila wanaofanya makosa kwa utaalamu wao wataingia hata waliopewa dhamana ya kuzilinda sheria ama kuzitafsiri sheria mahakamani.
 
Navyofaham ni kwamba wewe ni membar unae tafuta UMAARUFU kupitia njia hii ya kuwaponda walimu kwa kila mada yako tena ukijidai hujui kutofautisha herufi R na L(Uonekana wa kuja) .
Nina imani unauwezo sahihi wa kuandika mada vizuri kabisa kwa neno sahihi. Ila watumia mgongo huu ili tuu ujulikane .
angalau umemstiri, ungekuwa katiri ungesema tu kuwa unavyofahamu jamaa ni punga tu!!
 
H
Hili jamaa sijui linatokea kijiji cha wapi.....hili ulioanzisha wakati hata maneno ya kiswahili yanakusumbua ya walimu yanakusaidia nini.Kwanza tafuta mwl wa kiswahili akusaidie unaonekana hamnazo kichwani
Uyu atakuwa ni mnyankole raia wa Uganda
 
Hiyo Raana ishakufaga.. We pata picha watu wamemmiminia Risasi zaidi ya 30 Binadamu mwenzao na bado wapo tu wanadunda. Sembuse Mwalimu anayeomba Rushwa ya shi'ng mia mbili?
 
Mahakamani itabidi mshitakiwa wapili awe Takukuru maana ndo wanaotoa taarifa ktk vyombo vya habari.
Tunacho hoji nikwanini ni warimu tu kila siku?

Kwanini wasiwe ni wastaafu wengine?

Kuhisi ni raana nasi laana nikwasababu warimu wamezidi sana kupigwa.

Wewe km ni mmoja wapo wa warimu wachangisha michango tegemea raana hiyo kukupata wewe mwarimu.

Tumechoka kusikia habari zenu warimu. Badirikeni bwana.
Mwingine naye mwarimu wa mkorani naye anaweka hukumu hum jf ya ujinga uliomfanya aende jela.

Km vipi jiondoe jf, hatutachoka kuhoji, km Rais tunamuhoji hum jf sembuse na nyie warimu uchwara.

Kumbuka kuna baadhi ya WALIMU weledi na wanaoiheshim taaruma yao, nawanachapa kazi vizuri tu, tunawaheshimu sana!
Ila nyie warimu mnaokesha kuchangisha michango kwa kutumia kamati za shule, nahata bila kamati za shule ndo tunaowasema na tutawasema sana.
Pole Sana ndugu yangu! Ni vile tu hatujuani,hata hivyo namna yako ya uandishi na uwasilishaji wa hoja zako unatosha kukujua vema kuwa hapa nalumbana na mtu wa namna gani. Naona pia umeamua kunipa taaluma ya ualimu,tena ualimu uchwara kwa kuwa najaribu kukupa changamoto kwenye hoja zako,hatimaye unaniambie nijiondoe JF,Kati ya mimi na wewe nani anayepaswa kujiondoa humu? Wewe ni nani hata usipingwe kwenye hoja zako? Waheshimu walimu, tumia lugha nzuri kufikisha ujumbe wako.
 
Muanzisha uzi naona wengi humu wanachangia kwa maneno ya kejeli badala ya kujikita kwenye hoja. Inaelekea wengi wao ni walimu ( hasa wale waliojikuta wameangukia tu kwenye Ualimu pale walipochemsha kwenye fani nyingine walizokuwa wamezipania) na ndio wanaoongoza kwa kutunga vimichango visivyo na kichwa wala miguu kuwakamua wazazi na walezi.
Wengine wanafundisha mpaka tuition wakitumia vitendea kazi vya shule kama madarasa na chaki.
 
Ivi member yule mwenye jina la BIAYETU aliendaga wapi mana hasijekuwa ndio huyu karudi kivingine.
 
Back
Top Bottom