Samahani walimu ila naomba majibu toka kwenu

Wana jf, jana ilikuwa Bukoba Takukuru ilivyobaini mtoto aliyefukuzwa kufauru mthihani kwa Daraja la pili yaani Div2

Baada ya uchunguzi ilibainika mwanafunzi husika alifukuzwa shule lakini akapewa mwanafunzi nwingine nafasi hiyo.

Niwazi kuwa nafasi hiyo haikutolewa bule lzm kuna mrungula ulitumika.

Lakini kabla habari hii haijapoa leo tena huko misungwi Takukuru hao hao wameokoa 10ml. Za mstaafu naye si mwingine bali ni MWALIMU.

Niliwahi kuweka uzi hum jf nikihoji mbona kila mala ni walimu? Niliishia kuambiwa nawadharau japo nilitaka tuangalie chanzo ni nini.

Baada ya tukio la leo la misungwi nimetafakari nikapata jibu nalo ni hili.

-Walimu yawezeka michango michango mnayochangisha wazazi inaweza kuwa ni Raana inayowatafuna.

Maana kati ya wanafunzi 100 naamini kati yao 10 ndo wanaweza kuwa wanatoka ktk familia zenye uwezo wakupata hivyo vijisenti, lakini 90% kati yao wanatoka familia duni ambazo zinakula mlo mmoja tena kwa shida.

Hii ni baada ya mh. Jpm kutoa elimu bule, nadhani hata nyie mmeona mafuriko ya wtt kuandikishwa kuanzia s/m

Hivyo msipoachana na vimichango michango hivi ambavyo baadhi ya wtt wanakaa na bibi au mama na familia zenye uwezo duni Hii Raana haitawaacha sarama.

Maana wanatoa hii michango huku machozi ya maumivu yakiwatoka.

Lakini baadhi ya watoto wana nyanyapaliwa na wanafunzi wanaotoka familia zenye uwezo, hivyo machozi yao yanawarudia nyie.
Msipobadirika mtaendelea kupigwa na watoto wa darasa la saba mitaani ili mungu awalipe huku mkiipa kazi takukuru ya kuwasaidia nyie tu! Huku mkisahau hata aliyewapa fedha aliwapa kwa makubariano.
Una tatizo la R na L. RAANA. Rekebisha hayo utuletee uzi mzuri.
 
Ilo tukio la mwanafunzi kufukuzwa na jina lake na namba yake kupewa mwanafunzi mwengine limetokea mwaka gani?
Tupe Habari iliyokamilika.
 
Haya ndio madhara ya Elimu bure,,mtu unashindwa hata kuandika vizuri
 
Muanzisha uzi naona wengi humu wanachangia kwa maneno ya kejeli badala ya kujikita kwenye hoja. Inaelekea wengi wao ni walimu ( hasa wale waliojikuta wameangukia tu kwenye Ualimu pale walipochemsha kwenye fani nyingine walizokuwa wamezipania) na ndio wanaoongoza kwa kutunga vimichango visivyo na kichwa wala miguu kuwakamua wazazi na walezi.
Wengine wanafundisha mpaka tuition wakitumia vitendea kazi vya shule kama madarasa na chaki.
Kama kuna mwalimu wa namna hiyo ambaye anawachangisha wazazi fedha bila utaratibu ni vema achukuliwe hatua yeye kama yeye,na siyo kuwapaka matope walimu wote. Tabia ya kujumuisha kundi zima sidhani kama ni sahihi. Lugha za kejeli na za kukera kwa walimu siyo nzuri. Tuwatie moyo walimu wetu na tuwape ushirikiano,hata kama mitazamo ya wengi ni hiyo kwamba walimu ni watu waliofeli maisha lakini ndiyo wanatufundishia wanetu na kuwalea pia. Ualimu uheshimiwe tafadhali.
 
Sawa Mkuu!
Sijakejeli walimu hapo na ndio maana nimeandika "wengi wao" pia nimetumia maneno "hasa wale". Samahani kwa aliyekwazika lakini.
Sawa Mkuu! Wewe ni mkomavu, mwingine hapa angeniporomoshea maneno makali kwa kuwa niliweka neno kejeli mahali pasipo pake kwa maana ya kwenye hoja yako badala ya kwenye hoja ya mleta mada.
 
Waarimu mpoooo! Njoni huku ! Mwl. Mwenzenu kakinukisha huko misungwi! Raana za michango ya watoto masikini zinawara

Hamutabaki salama, karibu nitatangaza kazi ya uarimu imeraaniwa, haiwezekani ni warimu tu kila siku.

Yule wa mwanza ktk shule ya mkorani sekondali school nae katoka jera na lkn bado anachafua hari ya hewa.

Waalimu vipi?.
Chademaa nayo imekufa
Sijui mutakimbilia wapi .
Hahaaa sio waarimu ni walimu, sio mkorani ni Mkolani,sio raana ni laana
 
Hakuna laana kwa mchango wa mzazi; ila hiyo taaluma haina malupu lupu; inabidi ujiongeze
 
Wana jf, jana ilikuwa Bukoba Takukuru ilivyobaini mtoto aliyefukuzwa kufauru mthihani kwa Daraja la pili yaani Div2

Baada ya uchunguzi ilibainika mwanafunzi husika alifukuzwa shule lakini akapewa mwanafunzi nwingine nafasi hiyo.

Niwazi kuwa nafasi hiyo haikutolewa bule lzm kuna mrungula ulitumika.

Lakini kabla habari hii haijapoa leo tena huko misungwi Takukuru hao hao wameokoa 10ml. Za mstaafu naye si mwingine bali ni MWALIMU.

Niliwahi kuweka uzi hum jf nikihoji mbona kila mala ni walimu? Niliishia kuambiwa nawadharau japo nilitaka tuangalie chanzo ni nini.

Baada ya tukio la leo la misungwi nimetafakari nikapata jibu nalo ni hili.

-Walimu yawezeka michango michango mnayochangisha wazazi inaweza kuwa ni Raana inayowatafuna.

Maana kati ya wanafunzi 100 naamini kati yao 10 ndo wanaweza kuwa wanatoka ktk familia zenye uwezo wakupata hivyo vijisenti, lakini 90% kati yao wanatoka familia duni ambazo zinakula mlo mmoja tena kwa shida.

Hii ni baada ya mh. Jpm kutoa elimu bule, nadhani hata nyie mmeona mafuriko ya wtt kuandikishwa kuanzia s/m

Hivyo msipoachana na vimichango michango hivi ambavyo baadhi ya wtt wanakaa na bibi au mama na familia zenye uwezo duni Hii Raana haitawaacha sarama.

Maana wanatoa hii michango huku machozi ya maumivu yakiwatoka.

Lakini baadhi ya watoto wana nyanyapaliwa na wanafunzi wanaotoka familia zenye uwezo, hivyo machozi yao yanawarudia nyie.
Msipobadirika mtaendelea kupigwa na watoto wa darasa la saba mitaani ili mungu awalipe huku mkiipa kazi takukuru ya kuwasaidia nyie tu! Huku mkisahau hata aliyewapa fedha aliwapa kwa makubariano.
Mbona habari yako haina connectivity? Nina feki kufaulu na mwalimu kutapeliwa vina uhusiano gani na michango shuleni? Mkuu hivi ulienda shule kweli?
 
Back
Top Bottom