Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Kweli leo ndo nimegundua kwanini maandiko ya Mungu yameagiza wanaume tuishi na wanawake kwa akili sanaaaMambo ya shughuli huyafahamu wewe
Kweli leo ndo nimegundua kwanini maandiko ya Mungu yameagiza wanaume tuishi na wanawake kwa akili sanaaaMambo ya shughuli huyafahamu wewe
Bado sijatimiza tu malengo yangu kwanza yakitick ndo hapo chacha kwanza hapa nilipo na substitution ka 7 hivi upo hapo?Ww unajua soko linataka nn lkn bado shela hujavaa [emoji23][emoji23]
Naww ni sub ktk hao saba ujue...wameshajua hutak ndoa nao wanataka kuosha rungu tuBado sijatimiza tu malengo yangu kwanza yakitick ndo hapo chacha kwanza hapa nilipo na substitution ka 7 hivi upo hapo?
Wanaume wa sikuhizi tumewazidi kila kitu kwenye nyanja nyingi tu sasa hapo utaishije kwa akiliKweli leo ndo nimegundua kwanini maandiko ya Mungu yameagiza wanaume tuishi na wanawake kwa akili sanaaa
Hawaoshi rungu nimewaweka benchNaww ni sub ktk hao saba ujue...wameshajua hutak ndoa nao wanataka kuosha rungu tu
Wanacheza ngoma ile ile unayocheza ww
Hata umzidi mwanaume kila kitu bt u will still need his leadership,mlishaumbwa hivyo yani.Wanaume wa sikuhizi tumewazidi kila kitu kwenye nyanja nyingi tu sasa hapo utaishije kwa akili
HeheheheHawaoshi rungu nimewaweka bench
Sio kwangu Mimi malkia wa nguvu ninaye control kila kitu nakiwezaHata umzidi mwanaume kila kitu bt u will still need his leadership,mlishaumbwa hivyo yani.
Ndio manake papuchi hupati ng'odooHehehehe
Ukijipa mimba mwenyewe ndo nitaamini unaweza kila kitu.Sio kwangu Mimi malkia wa nguvu ninaye control kila kitu nakiweza
Mkuu wewe ndo una uelewa mdogo sisi ni walezi sasa nyie wanaume ndo waziri sana ndo maana huwa tunawapelekeshaWanawake ni mama zetu lakini uwezo wao wa kuchanganua mambo mdogo sana, haya tunayaona kwa Dada, wake, n.k ni kama Watoto wadogo ni wa kufunzwa kila siku
Nawewe ukiweza kujigegeda ndo nitakwamini kweli kidumeUkijipa mimba mwenyewe ndo nitaamini unaweza kila kitu.
Mimi sijasema simuhitaji mwanamke ktk maendeleo,wewe ndo umesema unaweza kila kitu ndo mana nikakwambia km unaweza kila kitu jipe mimba ili niaminiNawewe ukiweza kujigegeda ndo nitakwamini kweli kidume
Ndio mi naweza kufanya yoyote na nikasimama tu vizuri sema kwenye kulea ndo inabidi kuwa pamoja ka haiwezekani kila MTU na hamsini zakeMimi sijasema simuhitaji mwanamke ktk maendeleo,wewe ndo umesema unaweza kila kitu ndo mana nikakwambia km unaweza kila kitu jipe mimba ili niamini
Papuchi yako haijaguswa?!Ndio manake papuchi hupati ng'odoo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji125]Papuchi yako haijaguswa?!
Diva huyo mtoto unayemlea ulijipa mimba alone?Ndio mi naweza kufanya yoyote na nikasimama tu vizuri sema kwenye kulea ndo inabidi kuwa pamoja ka haiwezekani kila MTU na hamsini zake