Kibobe
Member
- Mar 6, 2017
- 21
- 13
Nitege mmNdo hutoka kwa bwana kuna mdada kavalishwa piti last week at the age of 39 SO God's time is the best, so kwaito nitacheza sana mi ndege yoyote nitakayemtaka lazima nimnase kwenye ulimbo wangu walah

Umesema vema mkuu, hata mahari zao sio za kumfanya mtu kujifikiria mara mbili mbili. Mke mwenyewe mmoja, gharama kibao na bado unakuta pasua kichwa ndani ya nyumba.Ndugu zangu muslim kwenye ishu ya kufunga ndoa nawakubali sana,simple tu na maisha yanaenda,na hata wanawake wengi wa kiislam washachukulia hvo,so mi naona tatizo lipo kwe2 wakristo hawa wanawake wa kikristo sijui y wanapenda makuu
Amazing......pm pako wazi au pamefungwa [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Yaani naombea nikutane na mwanaume mwenye akili kama zangu!!!
Yaani hamna cha kununua shera wa suti... Tutavaa vizuri tu na kuoendeza na kwenda ofisini kwa mchungaji na wazazi wetu/mashahidi.
Baada ya hapo kutakua na kasherehe kadogo ka familia.
Baada ya hapo mimi na mume wangu tunasepa!
Pamefungwa mkuuAmazing......pm pako wazi au pamefungwa [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nifungulie kidogo mkuuPamefungwa mkuu