MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,191
- 7,320
habari wadada..
nashangaa sana wanawake wote kuanzia mama yangu, dada zangu, ndugu wanapenda sana harusi...
nina ndugu yangu anaoa tulikuwa kikao cha familia... nikawaambia harusi ya nini ya gharama na maisha magumu..
bora wafunge simple tu church kisha tule chakula cha jioni home tu.. ndugu wakiume wote wamesapoti ila wanawake nusura wanikimbize kwa maneno yao ya kutaka harusi...
nikawauliza simple mnataka harusi mna bei gani tayari.. ooh tutachangiwa na marafiki wetu tuliowachangia...
hata huyo mke mtarajiwa anataka harusi kama nini kila siku anasisitiza rangi anazotaka