Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Hapana sababu ya kumlaumu nyoka Bali mwanamke ni shughuliSio kosa lenu Diva,nadhani wa kumlaumu ni yule nyoka aliyewalaghai pale eden.
Hapana sababu ya kumlaumu nyoka Bali mwanamke ni shughuliSio kosa lenu Diva,nadhani wa kumlaumu ni yule nyoka aliyewalaghai pale eden.
Aiseeee mecheka sanaShow off tu..wanataka watume ma picha insta..[emoji57]
Kuna kamama kamoja kana nzao 3 eti kanakuja kudai mchango kua kanataka kuhalalisha ndoa [emoji51]nikaakambia kwani ulibebwa kama ng'ombe au ulitolewa mahari..yani matoto yapo drs la 7 unaolewa ..[emoji3] nikasema hyo hela sina walai kawekewe mikono na pastor awabariki mje mpike pilau mle hapo kwenu mambo yaishe sh*#%nz typ
Huyu kweli hana hela ndo maanaHuna hela....ndo maana unasema hivo!
Hahaaaaaaa noma sana mkuuha ha ha utasikia pirch green sijui pink nini huku hana hata mia mfukoni
Shughuli gani tena hiyoHapana sababu ya kumlaumu nyoka Bali mwanamke ni shughuli
Si ndo hizo harusiShughuli gani tena hiyo
Ingekuwa rahisi kukamata ndege wqtu wangekuwa wameshakula solo siku nyngNdo hutoka kwa bwana kuna mdada kavalishwa piti last week at the age of 39 SO God's time is the best, so kwaito nitacheza sana mi ndege yoyote nitakayemtaka lazima nimnase kwenye ulimbo wangu walah
Cheka usije kulia tuUsinichekeshe bwana
Hao hawajui tu soko linataka nini na kukamata fursa mbali mbaliIngekuwa rahisi kukamata ndege wqtu wangekuwa wameshakula solo siku nyng
Mambo ya shughuli huyafahamu weweShughuli gani tena hiyo
Kazi mnayoSi ndo hizo harusi
Kuna sababu gani itayonifanya nilie nokia83Cheka usije kulia tu
Tena sio ndogKazi mnayo
Haya bhanaMambo ya shughuli huyafahamu wewe
Ha ha haTena sio ndog
Umegundua nin Leo swahibHa ha ha
Unajua wanaume tulioagizwa ktk maandiko ya Mungu tuishi na wanawake kwa akili sana ndo nimegundua leo
Ww unajua soko linataka nn lkn bado shela hujavaa [emoji23][emoji23]Hao hawajui tu soko linataka nini na kukamata fursa mbali mbali
Siku yule bwana akikuacha wakat kakupa ahadi rundoKuna sababu gani itayonifanya nilie nokia83
Ha ha haUmegundua nin Leo swahib