Samahani sana dada zangu, harusi mnazipendea nini?

Samahani sana dada zangu, harusi mnazipendea nini?

Kwani ww hupendi??au Hali ngumu ya Maisha??aaah waache wapende bwana kwani shin'ngapi????
 
Ndio maana mkifika miaka 30 mnaanza kudata maana unapanga mavazi ya harusi hata huyo bwana harusi hujakutana nae


Unakuwa umecheza kwaito zaidi ya 200 hadi ukumbi uliopanga kufanyia harusi umegeuka kanisa ww bado tu
Aloooo
 
harusi si lazima

kikubwa ndoa ili kutimiza sheria za kidini.

na ndio maana mwanamke alikuwa wa kwanza kuingia kaburini kumtafuta YESU mfufuka inadhihirosha wazi wanawake watasaau vyote ila maandiko matakatifu hawatoyasahau na kuyapotezea.
 
Ndio maana mkifika miaka 30 mnaanza kudata maana unapanga mavazi ya harusi hata huyo bwana harusi hujakutana nae


Unakuwa umecheza kwaito zaidi ya 200 hadi ukumbi uliopanga kufanyia harusi umegeuka kanisa ww bado tu
Nokia katika ubora wako! salute bro [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom