Shapanga kabisa yani lohUmeshapanga rangi ya harusi yako?!
Umeona eeh yaani mi nashangaa.jibu ni moja tukioa LA ndia au harusi harijirudii Mara nyingiMbona watu wamekua mbogo
yupo kuna dada mmoja hivi alikuwa housekeeper kwa mtasha,sasa wakati yule mzungu anataka kusepa akamwambia chagua nikufanyie nini,yule dada akasema nigharamie harusi maana mzungu alikuwa anaijua hyo harusi,basi ikafanyika yule mtasha kagharamika watu tukaenda kula bata Double tree,ilikuwa poa kweli kweli,iligharimu si chini ya milioni 10,ilivyoisha tu yule mtasha akawa amesepa,nyuma huku shost anakuja kushtuka anadaiwaa baadhi ya vitu ambavyo kumbe ilikuwa ni nje ya makubaliano na yule mzungu,nakumbuka siku hiyo walimjia awtu wa picha alikuwa anadaiwa kma laki nne naa,dada wa watu hana hata kumi,alipagawa hatari badae ikabidi kuna sehem alikuwa anacheza mchezo ndo kalipia zila pic,anajilaumu balaa anasema bora angechagua hata nyumba,too lateShapanga kabisa hadi gauni ndoa bila harusi ni useless kabisa
Kuanza na Dada zake so sababu ya kutumia hayo maneno, lazima tupende vtu vizuri sanaNdo mana akaanza na mama,dada na ndugu zake wa kike.
Kwani uongo?
ladies wanapenda sana vitu vilivojuu ya uwezo wao
Tukio ka hilo hutokea Mara moja kwenye maisha so sioni ajabu sherehe ya mwisho ni siku ya msiba, kipaimara tu huwa zinafana sembuse harusiyupo kuna dada mmoja hivi alikuwa housekeeper kwa mtasha,sasa wakati yule mzungu anataka kusepa akamwambia chagua nikufanyie nini,yule dada akasema nigharamie harusi maana mzungu alikuwa anaijua hyo harusi,basi ikafanyika yule mtasha kagharamika watu tukaenda kula bata Double tree,ilikuwa poa kweli kweli,iligharimu si chini ya milioni 10,ilivyoisha tu yule mtasha akawa amesepa,nyuma huku shost anakuja kushtuka anadaiwaa baadhi ya vitu ambavyo kumbe ilikuwa ni nje ya makubaliano na yule mzungu,nakumbuka siku hiyo walimjia awtu wa picha alikuwa anadaiwa kma laki nne naa,dada wa watu hana hata kumi,alipagawa hatari badae ikabidi kuna sehem alikuwa anacheza mchezo ndo kalipia zila pic,anajilaumu balaa anasema bora angechagua hata nyumba,too late
Ndugu zangu muslim kwenye ishu ya kufunga ndoa nawakubali sana,simple tu na maisha yanaenda,na hata wanawake wengi wa kiislam washachukulia hvo,so mi naona tatizo lipo kwe2 wakristo hawa wanawake wa kikristo sijui y wanapenda makuu
HAHAHA MAKUELEWA bEYONCEEEE!Tukio ka hilo hutokea Mara moja kwenye maisha so sioni ajabu sherehe ya mwisho ni siku ya msiba, kipaimara tu huwa zinafana sembuse harusi
Sio kosa lenu Diva,nadhani wa kumlaumu ni yule nyoka aliyewalaghai pale eden.Kuanza na Dada zake so sababu ya kutumia hayo maneno, lazima tupende vtu vizuri sana
Ndio maana mkifika miaka 30 mnaanza kudata maana unapanga mavazi ya harusi hata huyo bwana harusi hujakutana naeShapanga kabisa yani loh
Umeona eeeewaislamu wana akili sana kwenye swala la harusi
Usinichekeshe bwanaNdio maana mkifika miaka 30 mnaanza kudata maana unapanga mavazi ya harusi hata huyo bwana harusi hujakutana nae
Unakuwa umecheza kwaito zaidi ya 200 hadi ukumbi uliopanga kufanyia harusi umegeuka kanisa ww bado tu
Hamia kabisa dini yao mkuu ka unaona ugumuwaislamu wana akili sana kwenye swala la harusi
Ndo hutoka kwa bwana kuna mdada kavalishwa piti last week at the age of 39 SO God's time is the best, so kwaito nitacheza sana mi ndege yoyote nitakayemtaka lazima nimnase kwenye ulimbo wangu walahNdio maana mkifika miaka 30 mnaanza kudata maana unapanga mavazi ya harusi hata huyo bwana harusi hujakutana nae
Unakuwa umecheza kwaito zaidi ya 200 hadi ukumbi uliopanga kufanyia harusi umegeuka kanisa ww bado tu
Huna hela....ndo maana unasema hivo!habari wadada..
nashangaa sana wanawake wote kuanzia mama yangu, dada zangu, ndugu wanapenda sana harusi...
nina ndugu yangu anaoa tulikuwa kikao cha familia... nikawaambia harusi ya nini ya gharama na maisha magumu..
bora wafunge simple tu church kisha tule chakula cha jioni home tu.. ndugu wakiume wote wamesapoti ila wanawake nusura wanikimbize kwa maneno yao ya kutaka harusi...
nikawauliza simple mnataka harusi mna bei gani tayari.. ooh tutachangiwa na marafiki wetu tuliowachangia...
hata huyo mke mtarajiwa anataka harusi kama nini kila siku anasisitiza rangi anazotaka
hahahah umenifurahishaNdo hutoka kwa bwana kuna mdada kavalishwa piti last week at the age of 39 SO God's time is the best, so kwaito nitacheza sana mi ndege yoyote nitakayemtaka lazima nimnase kwenye ulimbo wangu walah