Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Hapana sina mtoto nikifika hyo level nitafanya maamuzi magumu aisee kulea mwenyewe sipendi atiDiva huyo mtoto unayemlea ulijipa mimba alone?
Hapana sina mtoto nikifika hyo level nitafanya maamuzi magumu aisee kulea mwenyewe sipendi atiDiva huyo mtoto unayemlea ulijipa mimba alone?
Haya tengua kauli yako sasa kwamba unaweza kila ki2 aloneHapana sina mtoto nikifika hyo level nitafanya maamuzi magumu aisee kulea mwenyewe sipendi ati
Umejichungulia ukaona aibu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji125]
Kumbe hata mtoto huna,ndo mana tunasumbuana.Hapana sina mtoto nikifika hyo level nitafanya maamuzi magumu aisee kulea mwenyewe sipendi ati
Ndio naweza kwanini nishindwe, Yes I can kabisaHaya tengua kauli yako sasa kwamba unaweza kila ki2 alone
Walah mi huwa sijichungulii wala sijionei aibuUmejichungulia ukaona aibu
ha ha haNdio naweza kwanini nishindwe, Yes I can kabisa
Kumbe watu wanaosha rungu...mm nlidhani hawajawahi kbs [emoji12] [emoji23]Walah mi huwa sijichungulii wala sijionei aibu
Hawoshi Mpaka ndoa takatifuKumbe watu wanaosha rungu...mm nlidhani hawajawahi kbs [emoji12] [emoji23]
U wishHawoshi Mpaka ndoa takatifu
Ndio ilivoU wish
Kwamba ww bikra?!Ndio ilivo
Hilo sio lakuuliza pigia mstari kabisaKwamba ww bikra?!
Ndio naweza kwanini nishindwe, Yes I can kabisa[/QUOT
Ndo mana Mungu kaumba men n women akimaanisha wataijenga dunia kwa kushirikiana,ni ubishi tu wa wanadamu wa kujidai kwamba wanaweza kila ki2 wenyewe lkn hamna kitu km hicho,mtoto aliyelelewa na mzazi m1 ni tofauti kbs na mtt aliyelelewa na wazazi wawili
Nife leo kama ww una bikraHilo sio lakuuliza pigia mstari kabisa
Wewe shauri yako jiapize tuNife leo kama ww una bikra
Nmeshaapa...ww huna bikra tena hata tarehe uliyotolewa huikumbukiWewe shauri yako jiapize tu
Nakwambia ukweli ujue oooohNmeshaapa...ww huna bikra tena hata tarehe uliyotolewa huikumbuki
Tatizo ni udumavu wa kifikra.. na ukosefu wa Mzani wa vipaimbele, katika maisha yao...habari wadada..
nashangaa sana wanawake wote kuanzia mama yangu, dada zangu, ndugu wanapenda sana harusi...
nina ndugu yangu anaoa tulikuwa kikao cha familia... nikawaambia harusi ya nini ya gharama na maisha magumu..
bora wafunge simple tu church kisha tule chakula cha jioni home tu.. ndugu wakiume wote wamesapoti ila wanawake nusura wanikimbize kwa maneno yao ya kutaka harusi...
nikawauliza simple mnataka harusi mna bei gani tayari.. ooh tutachangiwa na marafiki wetu tuliowachangia...
hata huyo mke mtarajiwa anataka harusi kama nini kila siku anasisitiza rangi anazotaka