Miss Natafuta mbona mapovu dadangu umechefukwa nini?wewe mbona ulioa na harusi?
mnatutukana wanawake tunapenda harusi kwani huwa tunajioa wenyewe? mbona mmejaa kwenye makamatiMiss Natafuta mbona mapovu dadangu umechefukwa nini?
Ndio usichokipenda wewe sio sababu ya kuita wengine hamnazo, tunatofautiana vipaumbele na ndio maana tukawa wanawake na papuchi zetu, sasa ukisema tu wajinga huo ni uzalilishajiHahaha kwa kweli,naona umetoa la moyoni
UmenenaNdio usichokipenda wewe sio sababu ya kuita wengine hamnazo, tunatofautiana vipaumbele na ndio maana tukawa wanawake na papuchi zetu, sasa ukisema tu wajinga huo ni uzalilishaji
Sisi is tuna hela bana??mbona nyie mnaoa kwa harusi?
wanafiki sana nyieSisi is tuna hela bana??
HAHAHA hatarBado wanakuja mkuu, subiri mvua ya mawe
Nakupendaga tu kwa hyo id yakombona wewe ulioa kwa harusi mkuu! kila mtu na wakati wake
Na wewe wapenda harusi???wanafiki sana nyie
Umeshapanga rangi ya harusi yako?!Maisha bila vishughuli hayaendi, mi mwenyewe napenda kweli
Umenifurahisha BeyonceMaisha bila vishughuli hayaendi, mi mwenyewe napenda kweli
umetumia andiko gani mkuuShapanga kabisa hadi gauni ndoa bila harusi ni useless kabisa