samahan kwa kuchelewa

samahan kwa kuchelewa

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,709
Reaction score
23,145
aise nilikuwa wapi sijui kwenye giza coz nilikuwa na miss some matters ya msingi kutoka jF
 
Hujachelewa sana ndio kwanza tunaanza!
 
asanten sana ma great thinkerz wa humu coz nimependa maada za humu sio za kitoto kama mitandao mingne ya kijamii.aisee nimeipenda sana hii forum
 
Kusema ukweli Upigaji wako wa hodi (Kichwa cha habari) speaks more. Karibu sana Great Thinker!
 
karibu sna umecheleeewa mno mana umepitwa na mengi,wanaosema hujachelewa ni waongo
 
Chama gani ndugu!?
Ooh! Sorry, karibu sana bwana. Hapa ndo jF. Usiwe na hasira humu.
Sote ni ndugu.
Amani iwe nawe...
 
Back
Top Bottom