Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,165
- 2,251
mzalendo
Kafuata mshiko; uliza the Comedy kilicho watoa kuleeeeeSasa huyu nae kafuata nini huko?
Hivi DSTV ni channel kumbe..?Kombe la dunia nitajiunga na ninyi kuwasikiliza Mwalimu Kashasha na Dr Leakey Abdallah.
Ila wakimaliza tu uchambuzi narudi DSTV.
Hivi DSTV ni channel kumbe..?
Je mmeweza kujua huko alikoenda maslahi ni makubwa kuliko alikotoka? Kuna jamaa yangu alifanya kazi serikalini for 15 yrs na alichoweza ni kununua kiwanja tuu na pesa ya kula. Atapata private (NGO) for 5 yrs ambapo aliweza Kujenga nyumba mjini na kijijini kwao, na gari akanunua Kwani wakati serikalini aliacha na take home ya laki saba huku alikoenda alianzia 1.8m ikaenda mpaka 2m plus night allowance. Alipomaliza mkataba hakurudi serikalini akapata another NGO... Maisha yanasongaKabisa Mkuu na wengi wenye Akili hiyo ni vijana ambao bado wanalishwa kwao Au anasubir bum litoke afanyie nalo Laana bado Hawajajua maisha vizuri. Km mtu Unayejitafutia ugali wako mwenyewe huwezi mshangaa jamaa Kwa maamuzi aliyoyachukua. Bora mtu usiwe maarufu lakini bank balance inasoma kuliko umaarufu njaa ambao watanzania wengi ndio wanao.
Na wewe povu la nini jombaaa.... Hayo ni maoni yakeWewe ni nani katika Taifa hili mpaka usipofungua hiyo chaneli kuathiri maisha ya Sam Mahela au wengine!?
Acha Unafiki PAMBANA na hali yako. Hapo ulipo bundle unategemea kutoka kwa danga, halafu mipovu inakububujika kama mashine ya kufulia mashuka ya wagonjwa Muhimbili. Pathetic!
Alitokea ITV. Kiujumla hii TV imetoa vichwa vingi sanaaHiviiii......naye alitokea TV gani vileeee?
Ni private ngapi za hivyoJe mmeweza kujua huko alikoenda maslahi ni makubwa kuliko alikotoka? Kuna jamaa yangu alifanya kazi serikalini for 15 yrs na alichoweza ni kununua kiwanja tuu na pesa ya kula. Atapata private (NGO) for 5 yrs ambapo aliweza Kujenga nyumba mjini na kijijini kwao, na gari akanunua Kwani wakati serikalini aliacha na take home ya laki saba huku alikoenda alianzia 1.8m ikaenda mpaka 2m plus night allowance. Alipomaliza mkataba hakurudi serikalini akapata another NGO... Maisha yanasonga
U-DC japo KULA na njaa havina itikadi wala imani. Acheni kijana wa watu ahangaikie kesho yake na wanawe asipofanya kazi mtamlipa?Sasa huyu nae kafuata nini huko?
Bila kanuni kwenye maisha hutoboi mfano.... Lazima kwa kila pato unaloingiza uweke serving ili baadae ukikwama ikusaidie, matumizi yako lazima yaendane na kipato chako, kama kipato ni kidogo tafuta extra income etc.... Hii ni mifano ya kanuni muhimu za maishaMaisha hayana kanuni labda kwa mchawi tu
Inasemekana ajira za serikali zina security ya kazi. Labda kaona bora aende kupata huo usalama.
Mbona anaonekana mstaarabu sana?au ni ngozi ya kondoo?Huwa linawafitini wenzake mpaka wanakimbia!!
labda mshiko! vyuma vime...Sasa huyu nae kafuata nini huko?
Hakuna hodari au mfanyakazi yoyote anaejiamini juu ya taaluma yake au kipaji chake anae kimbilia mkataba wa kudumu, wote huwa wanafanya kazi za muda maalum, uyo sam maela hajielewi kabisa utoke itv uende TBC hamna kitu hapoAcheni unafki Kila mtu anapofanya kazi anaangalia Maslahi yake binafsi pengine Huko Itv hakuwa na mkataba Wa kudumu. Watu mshaingiza siasa duh.......