Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Wewe jamaa upo nyuma sana..
nahisi hata mwaka huu utakuwa unajua kuwa ni 2017.

kwa bahati mbaya sana nilikuwa nimesha acha kuitazama hii channel tangu jiwe awe jiwe. lakini sasa nimelazimishwa maana ndo channel pekee local ninayopata
 
Hiki ni kiashiria kuwa watu walio makini kama mleta mada wahapo tayari kupoteza mda wao kuangalia Tbc, hongera sana mleta mada...
 
Namuona na mbwembwe zake , kipindi cha mahojiano 45 minutes radio one kamwachia nani ?
 
Back
Top Bottom