Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,773
- 256,795
Kuna Dada Namfahamu yupo hapo Itv anatangazaga habari usiku saa Mbili, Ukimuona Kwenye TV unaweza dhani analipwa pesa ndefu lakini anaishi tabata vyumba viwili, madeni Kila kona yamemuandama watu Haya hawayafahamu. Itv wanatengeneza waandishi maskini wenye Majina makubwa. Bora Hata clouds FM.Kwa mtu ambaye ameshafanya kazi media za Bongo sidhani kama anaweza mlaumu Sam kama unavyofanya wewe.Licha ya kuwa ni mtangazaji Mahela pia ni baba wa familia.Maisha ya Media Tanzania yanajulikna...mfano ile TV ya kanda ya ziwa unaweza ukakaa miezi 5 hujalipwa,sasa ukiitwa TBC ambako mshahara 95% ni uhakika unaanzaje kukataa?